Mimi Huwa Sina Kawaida Ya KuwaQuote Kama Nyinyi Msiojua Hata Rekodi Za Timu Yenu Kwenye Kushinda Na Kufungwa....

Sasahivi ni Mwaka 2017, Labda Kwa Kuanzia Ungetafuta Mara Ya Mwisho Kwa Chelsea Kufunga Liverpool ilikuwa Mwaka Gani? 2016? 2015? 2014? 2013? and.......
Haaaaaa. Aya bhana. Naona umetulizwa na timu inayoshuka daraja.
 
Wavamizi Fanyeni Fujo lakini Mutajishtukia Wenyewe Kuwa Tunawapuuza Manake Hakuna atakae WaQuote....
 
Kwenye ukweli tunasema ukweli leo kama Liverpoolfc ingeshinda Chelsea wangekuwa na wakati mgumu ila kwa sasa Chelsea ana asilimia kubwa ya ubingwa ila pia kufukuzia ni bora kuliko kufukuziwa, EPL timu 5 chini Ya Chelsea chochote kinaweza kutokea ndio uzuri wa EPL, uzuri wa Liverpoolfc tuna Klopp ambaye anatupa moyo timu bila kujali nani kaumia nani hayupo hapendi sababu za kijinga LiverpoolFC YNWA!
 
Umeongea Points Mkuu! Hii Naivote Kuwa Ni Post bora Ya Kufungua Mwaka 2017...
 
We were not good today.Our normal blood flowing was greatly reduced.Tiredness of city game affected us i think.All in all we look forward to confront the next games.

We will always be Liverpool.Four points within 48 hours is still not that bad as haters seem to overlook.
 
Liver ni timu ambayo nilikuwa naipa nafasi kubwa ya kumtoa chelsea pale juu kutokana na timu yangu kuiona kutokuwa na uwezo wa kumkamata chelsea, kumbe na nyie ni ovyo kabisa . Mnashindwaje kumfunga sunderland . ama kweli leo nimeikumbuka nyimbo ya mtulize kabla hujatulizwa kudadeeki.
 
Jurgen Klopp: "I know we can play better football. But I have no idea if it would have been possible today."
 
15871656_1823688994553666_242566967656086623_n.jpg
 
Sadio Mane has scored 9 Premier League goals this season, more than any other Liverpool player.
 
Back
Top Bottom