tehteh nilikuwa natizama game ila dk mpaka ilipofikia 2-1 ndipo nikajificha huwezi amini niliona bet LFC to win 2-1 return 80 ila huwa LFC sijaribu ndio narudisha ch naona Klopp anatafuta kuumiza wachezaji vifua. Next Plz LFC YNWA! basi Hull yasiwe ya burnley.

Najua huwezi kubet Liverpool kushinda hata kama wakicheza na Yanga. Ila nimefurahi mmewafunga wa darajani. Klopp anawabadilisha kila siku zinavyokwenda.
 
1474059910959.jpg
 
Wakati nilipotaka kuanza kujiaminisha kuwa leo wanaweza kushinda...wakanikumbusha kuwa wao ni majogoo wasiowika... hukawii kuona wanakuja kufungwa hii mechi
Jogoo shingo ngumu hajachinjika kavunja kidaraja na shetani naye akija Ashindwe na aregee LFC YNWA!
 
Back
Top Bottom