We spent 94 million £ on Nunez instead of building schools, hospitals, foodbanks etc
20240425_020418.jpg
 
Baada ya sisi kuondolewa kwenye mbio za ubingwa kuanzia sasa nasimama na Arsenal.
Sababu zangu ni
1. Kwa msimu wa pili sasa wamepambana sana kuupata ubingwa. Wanafail kizembe.
2. Kusimamisha ubabe wa city kuendelea kuitawala epl.
3.
Broo stress za Liverpool hazijakutosha unataka ujibebeshe na stress za hawa mafalse hopes?
Hawa Arsenyau walishindwa kubeba kombe msimu ulioisha wakati waliongoza ligi kwa siku 258, zimebaki mechi 8 kumalizika ligi wao wanaongoza kwa points8 dhidi ya City, imebaki mechi moja ya ligi Arsenyau wako points8 nyuma ya City
Kweli nimeamini kuna watu hua hawapendi kabisa kuishi kwa furaha hapa duniani
1713782188650.jpg
 
Liverkuku acheni kula kande kwenye safar ndefu bus linasimama watu wachimbe dawa nyie mnaenda haja kubwa...kuchimba dawa porini ni kwenda kukojoa tu hapo nyuma ya gar tukutane mwakani ndugu zetu
#coyg
 
Hili kombe achukue arsenal tu
Akichukua mwasiti itakuwa ni upuuzi wa kiwango cha ajabu
Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?
Mimi kila nikiwaza ufidhuli wao naona bora tu Epl ionekane ni Farmers league kwa City kujibebea kombe kila msimu.
Hio shida tuliyopata walivyobeba ngao tu ya hisani, sijui itakuaje hawa Chuchunge wakibahatisha kubeba Epl.
Hebu angalia hapa chini huu ufidhuli wanaowafanyia, na hapa bado hawajebeba kombe halafu fikiria wakibeba kombe hali itakuwaje
1714033462065.jpg
 
😂😂😂😂😂
Hapa tu wanatusumbua utadhani wameshabeba ligi

Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?
Mimi kila nikiwaza ufidhuli wao naona bora tu Epl ionekane ni Farmers league kwa City kujibebea kombe kila msimu.
Hio shida tuliyopata walivyobeba ngao tu ya hisani, sijui itakuaje hawa Chuchunge wakibahatisha kubeba Epl.
Hebu angalia hapa chini huu ufidhuli wanaowafanyia, na hapa bado hawajebeba kombe halafu fikiria wakibeba kombe hali itakuwajeView attachment 2973462
 
sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
"Kwa sasa Klopp anaonekana ndezi tu, wanaona bora hata Baba Ubaya"
We Arsenyau unakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
 
Hawa sio wa kuwaombea wapate hata bilauri achana na hilo kombe la Epl.
Kama unawahurumia sana ni bora uwaombee wapate hata mimba ili msimu huu wasitoke mikono mitupu
😂😂😂😂😂😂
City akichukua ligi itapoteza mvuto

Acha tu wachukue hata kama watatusumbua.
Halafu wasipochukua nitawaonea huruma sana,mpira mzuri wacheze wao halafu watoke mikono mikavu
Heri sisi tuna koroboi mkononi.
 
sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
Klopp bado ni kocha mzuri
Na hadi sasa tayari ndiye kocha mwenye kombe mkononi.

Baba ubaya ana kombe gani la msimu huu?
 
Hivi kwani ni marufuku golikipa namba 3 kucheza?
Mechi zilizobaki acheze tu golikipa namba 3
Allison apumzike tena sasa aisee
Tumemchoka.
 
City akichukua ligi itapoteza mvuto

Acha tu wachukue hata kama watatusumbua.
Halafu wasipochukua nitawaonea huruma sana,mpira mzuri wacheze wao halafu watoke mikono mikavu
Heri sisi tuna koroboi mkononi.
Mpira mzuri Arsenyo hawajaanza kucheza leo labda kama umeanza kuwafatilia jana na leo, hawa mpira mzuri walikua wanacheza tokea kipindi cha mzee Wenger.
Asenyo ni sawa na mwanamke mzuri (Pisikali) lakini hana bahati ya kuolewa.
Watu tunaishia kujiuliza tu, huyu demu mbona mkali sana lakini haolewi?
 
Ww omba njaa kwlikwli...jumapili tuna Tottenham...tukiwazabua wale aisee mjiandae na shombo zetu...maana sioni koroboi lingine la kutuzuia kabisa...Manunu ndo hata siwafikirii kabisa...maana mule kuna kundi la wacheza kiduku sio timu ya mpira🤠🤠🤠
Mpira mzuri Arsenyo hawajaanza kucheza leo labda kama umeanza kuwafatilia jana na leo, hawa mpira mzuri walikua wanacheza tokea kipindi cha mzee Wenger.
Asenyo ni sawa na mwanamke mzuri (Pisikali) lakini hana bahati ya kuolewa.
Watu tunaishia kujiuliza tu, huyu demu mbona mkali sana lakini haolewi
 
Man City leo anaenda kukutana na kitu kizito...tupo hapa American express stadium mubashara tukiwa na baragashia na tunguli tunasubiria mda
Kombe la Man City hilo binti wala usihangaike kum-betia Arsenal! Mechi za mwisho Man City huwa halina utani!
m
 
Kuna watu mnachekesha sana yani Man city hii ambayo mara ya mwisho kupoteza game hatukumbuki hata ni lini ndo mnafikiria leo watafungwa na hao wapaka poda wa Brighton, Mtashangazwa.
 
Back
Top Bottom