MBONA MNACHONGA SANA? tunawavutia kasi tu

...inabidi mfunge twin cam, turbo charged engine maana wanakuja hao, ...Man U aliwasha indicator mapema, keshapita, ...A'Villa nao hao wana ku flash... Chelsea wao wanakuonea haya kukupita...

sie washika bunduki tuna mark time, tunawasubiria kwenye milima...
 
Washabiki wa bwawa la maini wanatamani Man U afungwe mechi yake ya kiporo (na Fulham) kwa zaidi ya mabao 2......guess gd itawafanya muongoze ligi then.

Kazeni buti, sivyo hadi ganaz watawapita!
 
points zetu 3 mnazo nyinyi Man U,hatuna wasiwasi kwa ilo kama mzunguko wa kwanza tulivyowafanya
 
...inabidi mfunge twin cam, turbo charged engine maana wanakuja hao, ...Man U aliwasha indicator mapema, keshapita, ...A'Villa nao hao wana ku flash... Chelsea wao wanakuonea haya kukupita...

sie washika bunduki tuna mark time, tunawasubiria kwenye milima...

Mbu acha kujifagilia!!ndio mmeshika bunduki ila ni magobole na risasi hamna!!sijui mtamtisha nani??lol
Hao man u ni kama Chelsea si unajua ukutaka mbuzi akufate mtamanishe majani!!Sasa ulitaka tukae kileleni moja kwa moja??Ligi haitakua na upinzani!!
Ila mwaka wetu premier lazima lirude home ANFIELD..
 
Portsmouth have signed Liverpool winger Jermaine Pennant on loan until the end of the season.

The 26-year-old has played only four times for the Reds this season and had been linked with a move to Real Madrid.

"I've known him for a long time - we were together at Arsenal a long, long time ago," Portsmouth boss Tony Adams told the club website.

"He was a very exciting prospect. He's quick and very technically gifted and he can have a go at defenders."

Pennant began his career with Notts County and made headlines when Arsenal boss Arsene Wenger paid £2m for him as a 15-year-old in 1999.

But he failed to live up to expectations at the Gunners, and was loaned out to Watford, Leeds and Birmingham before joining the Blues on a permanent deal in 2005.

He moved to Liverpool in 2006, and has made 81 appearances for the club since joining them for a fee of £6.7m.

His appearances for the Reds this season have been severely limited, but he insisted last week that he wanted to stay at Anfield.
"My preference is to stay at Liverpool and I am still hoping to do so. I do not want to leave," Pennant said.
"I am happy to compete for my place here and hope that I am given the chance to do so."

But now he has made the switch, Adams is looking forward to reuniting Pennant with a former Liverpool team-mate to good effect.

"I saw him play with Peter Crouch for Liverpool at Fulham last year and he was constantly getting past their left-back and getting crosses in for Crouchie," he added.

source:bbc sports.20th jan 09.
 
...Another wasted English talent!

...high life incl bling bling, flashy cars, pombe, clubbing na wanawake ndio vinamponza, BTW wiki chache tu zilizopita Real Madrid walionyesha nia ya kumchukua kabla 'mnoko' mmoja hajamchomea deal likafa... Real waka opt kumchukua Lassana Diarra instead.

...child prodigy yeyote anayekuwa spotted na Arsenal scouts na Arsene Wenger kumkubali ujue ni kweli talented, bahati mbaya wengi wao (English players) anasa na ile British pride zinawaponza, i.e kina David Bentley hao...
 
Dakika ya 54 Gerrard anasawazisha bao baada ya pasi maridadi toka kwa Torres. L'pool 1 Everton 1
 
Liverpool mnashuka kidogo kidoooogo... sasa ni watatu, behind Chelsea,...

...full time, Liverpool 1-1 Wigan.
 
Liverpool mnashuka kidogo kidoooogo... sasa ni watatu, behind Chelsea,...

...full time, Liverpool 1-1 Wigan.

Its disgusting huyu Spanish Payeya anacheza containing footbal "not to lose" while he is supposed to "play to win"

Hakuna champion mentality kwa Liverpool kwa about 50% of first team players, unless wamwachie crazy little sam for three games a-take some risks.

Either liverpool wanaacha cautious game... au ubingwa tusahau
 
Duh!

Leo ntakula nusus ya matapishi yangu... I am still not convinced na tactics zake za not to lose, but today Torrefic rescued his @ss
 
Liverpool mnashuka kidogo kidoooogo... sasa ni watatu, behind Chelsea,...

...full time, Liverpool 1-1 Wigan.

Mbu...

Leo timeshinda mbili bila... any comments after we leapfrog CHelskum? Where is Mr. Bin [Wenger]?

Manure here we come!!!
 
Mbu...

Leo timeshinda mbili bila... any comments after we leapfrog CHelskum? Where is Mr. Bin [Wenger]?

Manure here we come!!!

...Mmebebwa :D !!!

Lampard hakustahili RED card,... Gerrad previously alifanya same tackle hata yellow hakupewa...

Bosingwa ndiye aliyestahili RED.

...halafu huo mchezo wenu wa kumcheka mtu mzima, mtaota kisunsua jichoni!
AW mshambatiza jina la MR BEAN? wabaya sana nyinyi...ha ha ha...
 
Kwa kweli leo Liverpool wamebebwa kama walivyobebwa siku ile ManU....Lampard hakustahili kupata ile kadi nyekundu..........Liverpool sio tishio sana kwa ManU....naona wazee wa ManU wamepoowa................
 
Nani anaongoza ligi, nani ana mechi moja mkononi?
 
Liverpool wameshalipa deni lao wanalodaiwa na Wachovia?

Sio rahisi kama zilivyo investiments nyingine;

Kama ilivyo madeni ya Real Madrid, Barcelona, Manure, Newcy, Arsenal, Westham, Crystal Palace, etc. etc.
 
...Mmebebwa :D !!!

Lampard hakustahili RED card,... Gerrad previously alifanya same tackle hata yellow hakupewa...

Bosingwa ndiye aliyestahili RED.

...halafu huo mchezo wenu wa kumcheka mtu mzima, mtaota kisunsua jichoni!
AW mshambatiza jina la MR BEAN? wabaya sana nyinyi...ha ha ha...

Ndugu yangu Mbu tuwe wakweli... Ukimuangalia AW na Mr. Bean huoni kama wamefanana sana? Tofauti yao ni moja tu, AW ni bingwa wa whining na Bean ni bingwa wa ku-ignore
 
Back
Top Bottom