Kwakweli Matip injuries zake Ni too much tena!!! Yani Majuzi tu ametoka Kwenye Injury! Na Jana ameumia tena....Sasa tusubiri Lallana na Sturridge muda wowote kuanzia Sasa utasikia nao Nje Miezi 3.
 
Loris Karius on Instagram: "To those who take joy in seeing other people fail or suffer, I feel for you. Whatever it is that's happening in your life to hold this much anger and hate, I pray that it passes and good things come to you." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]

Kwakweli Mashambulizi Anayotupiwa Karius Katika Walls Waze Za Instagram na Twitter inatia Huruma! Jamaa anajitahidi Kustahamili Lakini Kashindwa na Kaona Bora Ajibu.

Njia Pekee Ya Kumrudishia Karius Confidence Yake Ni Kumtoa Kwa Mkopo Tena Nje Ya Uengereza may be Spain, Italy or Germany.
 
Kumueka Golini Karius Ni Bora Uchomeke Jiti tu Pale golini huenda Mpira ukagonga hilo jiti. Period
Klop kakosa aibu kabisaa anampanga mwanzo mwisho ila wapiiii dah

Hivi glujic kesha mtoa tena jana sijamuona?

Nashindwa kuelewa tunanunua makinda wa nini na hatuwatumii?
 
Loris Karius on Instagram: "To those who take joy in seeing other people fail or suffer, I feel for you. Whatever it is that's happening in your life to hold this much anger and hate, I pray that it passes and good things come to you." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]

Kwakweli Mashambulizi Anayotupiwa Karius Katika Walls Waze Za Instagram na Twitter inatia Huruma! Jamaa anajitahidi Kustahamili Lakini Kashindwa na Kaona Bora Ajibu.

Njia Pekee Ya Kumrudishia Karius Confidence Yake Ni Kumtoa Kwa Mkopo Tena Nje Ya Uengereza may be Spain, Italy or Germany.
Na kama anampenda sana vile kamtoa kwao basi mtupe b huko
 
Klop kakosa aibu kabisaa anampanga mwanzo mwisho ila wapiiii dah

Hivi glujic kesha mtoa tena jana sijamuona?

Nashindwa kuelewa tunanunua makinda wa nini na hatuwatumii?

Klopp Hununua Hawa Young Players ambao thamani Yao Sokoni Huwa Very cheap Kwa Ajili ya Project Yake ya Muda Mrefu! Lakini Haitowezekana Awatumie Wote Kwani Kuna Na Wengine Wanaotokea Liverpool Academy!
So, Anachofanya Hutafuta Wale Ambao Ni Very Talented na Kuwatumia, Then Wengine Huwatoa Kwa Mkopo Kwa Ajili Ya Kuboreka! Na Wakishindwa Kuimprove basi anawauza moja Kwa Moja.
Kwa Mfano Katika Vijana Alioinvest basi Ni Wawili tu ndiyo Aliowaamini Ambao Ni TAA Na Gomez.
Lakini Kwa Upande Wa Grujic, Woodburn, Solanke na Wilson Ni Kuwa Bado Hajawaamini.
Marahii tutamuangalia Brewster Kama Atamwamini.

Mkuu Klopp Yupo Sahihi Kuinvest Kwa Vijana Kwani Humohumo ndiyo walimotokea kina Owen na Gerrard.
 
Dah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.

Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!
 
Hujui kuwa hii ni Preseason au

Mane na Salah hujawaona Uwanjani? Walikuwa majeruhi?

Nyie mliishia hatua gani kwenye UEFA last season, tuanzie hapo
 
Dah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.

Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!
......wa wapi wewe !?
 
Nataman Klopp aendelee kutumia almost 4 games za pre season bila ile (Fab three) yetu..

I wanna see us where we"ll be heading.. kama AM wetu ni lallana..

theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).

EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?

no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.

having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?

Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.

kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).

Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
 
Word.
 
Karius turning into Lovren, posting useless msgs kwenye social media ili kupata huruma.

well, this is football, fans huwa wanaumia kuliko wachezaji or managers, na ukichukulia emotions na reactions za binadamu zimetofautiana, during the WC, shabiki wa Messi kule India alijiua baada Argentina kufungwa goal 3 na croatia, na luckly ni mmoja kati ya wachache walioripotiwa, nani anajua fans wangapi wa Messi walijiua siku hiyo au siku ambayo Argentina ilitolewa na ufaransa?

heard somewhere kuwa hapa Tanzania, kuna fan wa Liverpool alijiua baada ya ile final na Madrid (well sijui ina ukweli kiasi gani hii), but you can imagine ni fans wangapi wa LFC duniani waliojiua siku ya final? so kabla Karius hajaanza kuita watu haters kwasababu tu wanataka aondoke LFC anatakiwa ajue blunders zake za siku ya final zimecost maisha ya watu wangapi, he's playing the victim card here, na kuna football hakuna sentiments hata kidogo, either you fullfil your potential or you choose to live as a shit footballer.

Club legend SG, got a lot of abuse alivyo-slip na kuicost LFC the first BPL title, but hukuona akiita watu haters coz alijua alifanya mistakes, na huwez kuzuia watu kukutukana hasa kwa fans ambao hawajashuhudia team yako ikibeba PL for the last 27 years. thats football.

hakuna player ambae huwa anakuwa abused na fans kama Bale pale Madrid (kwasababu tu ya injuries), but akirudi uwanjani huwa anawaprove wrong, and that is a mentality of a top footballer, siyo kulia lia kwenye social medias.

umefanya makosa kwenye biggest stage of your career, its your duty to get you acts together na kufocus, kila binadam anamake mistakes, sasa kama unaruhusu mistakes zidestroy career yako, hilo siyo tatizo la mashabiki, Klopp was ready to give him another chance, but baada ya ile blunder ya tranmere akaona jamaa bado hayupo mentaly fit at all.

passionate fans, can kill for their Club or favourite player, can kill themselves pia Club au mchezaji wanaompenda akivurunda, so you cant escape abuses as a player, Club ambayo ina more than 500m fans in the world, haiwez kuwa na fans wenye reactions sawa na wenye uvumilivu wa kuvimilia trophyless seasons, so as a proffesional footballer you cant expect huruma ya watu kwa kushindwa kwako kuhimili mikiki na negative universe ya mpira wa miguu.

kuna players washamiss crucial penalties, kuna keepers ambao washafungisha kwenye crucial matches, but they learned from those hardships and moved on, so kama umefail kumove on, dont blame watu for your weak mentality.

then, i remembered when Lovren alivyotafuta huruma ya watu baada ya kutumiwa death threat kwenye instagram na mtoto wa miaka 12. and we're here still hoping to win trophies na players wenye mentality za namna hii.
 
and funny enough...

watu ambao Karius ambao anawaita haters hapa ni wale Top reds ambao walikuwa wanatuita sisi haters kwa kumponda Lovren for his school-boy mistakes tangu ajiunge na hii club, and went on to vote him kama mchezaji wa msimu baada ya kutumiwa death threats na mtoto wa miaka 12.

but leo hii, ndo wanamtukana Karius mpaka anawaita "haters", the irony lol.

this fanbase is so special.
 
theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).

EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?

no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.

having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?

Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.

kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).

Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
Nimeona mechi moja tu ya pre season na some clips za mechi zingine, VVD ndo spine of our defense mechi ya juzi baada ya kutoka tu we had a nightmare in defense.

Naby Keita, this kid has something special, katika mechi ambazo amecheza na Sturridge, Studge amekuwa na performance nzuri he track Studge runs so well na ana uwezo mzuri wa unlock defensive team

Markovic huyu dogo to be honest kaharibikia kwetu huko alipokuwa alikuwa na performance nzuri nadhani ni vizuri akabakia tukamtoa kwa mkopo Solanke. We need his pace down the flank.

Karius, huyu nadhani angetolewa kwa mkopo tu maana maamuzi yake yataendelea na kutu-cost later on

Shaqiri kwa uchezaji wake ule na timu yetu sidhani kama atakuwa na msaada sana kwetu anacheza sehemu kubwa personally labda aje aniprove wrong

so far with this squad we CAN WIN any trophy, ili mradi wachezaji wetu wawe clinical kwenye opponent's goal siyo kama yale na dortmond juzi kwenye dakika za mwisho tungepigwa hata goli nne wakati we had chances earlier on to kill the game kabla ya dakika ya 70
 
theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).

EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?

no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.

having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?

Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.

kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).

Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
Fact.
 
Back
Top Bottom