mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,282
- 44,823
Habari ziwafikie.
baadhi yetu tushasema humu countless times.Penalty miss out
na makipa wapo kuna Kepa, Obalak, Emerson etc ila yeye bado anaona hii rotation yake ndio dawa ya kupata kipa boratatizo tunaruhusu sana magoli....klop halioni hili
tangu aanze kufundisha ni makosa yale yale ya defence....seriously hatuwezi kuchukua kombe lolote na defence kama hii...baadhi yetu tushasema humu countless times.
defensive problem ya timu yetu siyo personnel. problem ni system ya Klopp.
nilishasema na leo narudia tena bila kumung'unya maneno...defence yetu hata ikiwa na Ramos, VVD, Godin, etc timu itabugia mabao mengi tu kutokana na unbalanced playing system anayotumia Klopp!
Mignolet utadhani kipa wa umiseta!na makipa wapo kuna Kepa, Obalak, Emerson etc ila yeye bado anaona hii rotation yake ndio dawa ya kupata kipa bora
Wakuu yule beki wenu kisiki,beki wa bei ya juu kabisa hayupo?