He's back
9e87c09022208e0528ed4c93aca6759b.jpg


Worst Picture I've see in all Fcuking week!!!
 
Liverpool wana hofu kupoteza kwa Bayern Munich mbia za kumsaini kiungo wa kati wa Schalke Leon Goretzka, 22. (Liverpool Echo)
 
Worst Picture I've see in all Fcuking week!!!

Game yetu na Arsenal ilionyesha kuwa HENDO tunamuonea tu!
Hadi anaumia ilikua 0-0
Akiwa hayupo uwnajani tukawa up 2-0
Ndani ya dakika 7 tukawa nyuma 3-2

Mbona hatukuzuia mabao ya kizembe wkt Hendo hayupo?
Tunafungwa sababu ya mfumo sio mtu mmoja ndiyo ninavyo amini
 
Game yetu na Arsenal ilionyesha kuwa HENDO tunamuonea tu!
Hadi anaumia ilikua 0-0
Akiwa hayupo uwnajani tukawa up 2-0
Ndani ya dakika 7 tukawa nyuma 3-2

Mbona hatukuzuia mabao ya kizembe wkt Hendo hayupo?
Tunafungwa sababu ya mfumo sio mtu mmoja ndiyo ninavyo amini


Mkuu Mpira Haupimwi Hivyo Kama Mechi Flani alikuwemo ikawa hivi na alipotoka ikawa hivi...
Kama Ni Hivyo basi Tuliliwa 5 na Mancity na Tukaliwa 4 na Spurs na yeye akiwemo.. Lakini Hivyo sio hoja...

Points Ni Kwamba Kiujumla Jamaa Kashapoteza Uwezo awaachie Vijana tena Wacheze Mpira Kwenye Timu Yetu na si yeye...

Huu Ni Wakati Wa Kina Keita, Gini, Can na AOC kufanya Kazi.
 
United wanaiongoza Liverpool na Chelsea katika harakati za kumnunua kiungo wa kati wa Nice Jean-Michael Seri, 26, huku Manchester City pia ikimtaka mchezaji huyo wa Ivory Coast. (Mirror)
 
Manchester City wana hamu ya kiungo wa kati wa Liverpool na Ujerumani Emre Can, 24, lakini hatma yake huenda ikategemea hatua ya Liverpool ya kutaka kumsajili kiungo wa Schalke, 22 Leon Goretzka. (Mirror)
 
Joey Barton anadai kuwa ni ''unafiki'' kwa liverpool kumfuta kazi mchezaji mwenza Jon Flanagan, 25, baada ya beki huyo wa Uingereza kupatikana na hatia ya kumpiga mpenziwe. (Talksport)
 
To be short and Clear! Baada Ya Kumpoteza Goretzka kwa Bayern, Kwa Sasa Liverpool haina Target Yoyote inayofuatilia.

Tusubiri Summer tu tena.
 
Highest scoring Brazilians in Premier League history:

Coutinho - 41 ️⚽️
Firmino - 31 ️⚽️
Juninho - 29 ️⚽️
Willian - 22 ️⚽️
Oscar - 21 ️⚽️

I Hope at the end if this season Bobby will be the Highest Brazilian Scorer in
EPL history.
 
To be short and Clear! Baada Ya Kumpoteza Goretzka kwa Bayern, Kwa Sasa Liverpool haina Target Yoyote inayofuatilia.

Tusubiri Summer tu tena.
Naamini hivyo hivyo. Nilikuwa na kiu ya kumuona huyu mtu. Labda sasa JK aongeze kasi ya kumtafuta Michel Seri "next Iniesta". Anaweza kuwa msaada ingawa nahisi anafanana na Keita kiuchezaji.
 
Yani Ustadh Salah Mpaka Sasa Bali tete!
Hata Kwenye Official Account Yao Wameeka Alana ya (?)...

 
Back
Top Bottom