Kiukweli jana Klop aliniboa sana.....kaninyima raha jana....mtu mwenye akili timamu awezi kumtoa salah dk zile za 70. salah alikua anawakeep busy mabeki wa everton hata kupanda walikua hawawezi....na ndio maana beki zetu zilikua zimerelax ktk kipindi cha mchezo wote....sasa alimpo mtoa salah everton walipata kitu kinaitwa auweni...wakaanza kupanda mbele kutafuta goli la aina yeyote.

km asinge mtoa salah akiya Mungu tulikua tunashinda ile mechi. nilipoona firminho ana pasha nikajua solanke anatoka kumbe da anamtoa salah.....jana Klopp got it wrong aisee.
Nilichoka kumtoa salah unamuacha kinda solonke ni dhahiri hakuhitaji ushindi.

Yani kachekesha mnoo najua hata mabosi wamemshangaaa.

Ajabu zaidi origi alishazoea kikosi na alikua anafanya vizuri kamkopesha et kabakisha mgeni tena kinda.

ANGALIZO KWA KOCHA HUYU TUSI BET KOCHA MISUMARI KICHWANI HAIJATIMIA.

ushahidi soma apo juu kama unaeza fanya maamuzi kama yake.

Lingine kwa ubola alio onyesha sakho mpaka kufika fainal hakustahili kumtoa kizarau namna ile. Tukubali kocha wetu zinaingia na kutoka
 
Allan Shearah alivyomuongelea Klopp: “Well, have a look at your own team selection. You left a guy out who scored a hat trick in midweek (Coutinho), and as a centre forward, I know that the time to be left out is when you’re not scoring goals. When you’re scoring goals you can’t wait to get out on the pitch.

“We’ve just seen Mourinho try and blame the referee to cover up his team’s inadequacies, and Klopp comes on and goes on about terrible decisions and there was only one team in it"
 
King Mo Salah ashinda Tunzo Ya Uchezaji bora Wa Africa ya BBC ya Mwaka

Hongera King!


thumb_54011_default_news_size_5.jpeg


Mohamed Salah named BBC African Footballer of the
Year


 
Allan Shearah alivyomuongelea Klopp: “Well, have a look at your own team selection. You left a guy out who scored a hat trick in midweek (Coutinho), and as a centre forward, I know that the time to be left out is when you’re not scoring goals. When you’re scoring goals you can’t wait to get out on the pitch.

“We’ve just seen Mourinho try and blame the referee to cover up his team’s inadequacies, and Klopp comes on and goes on about terrible decisions and there was only one team in it"
Anaandaliwa kuindoka timun
 
Nyota wa Liverpool Mohamed Salah ameshinda tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa Afrika 2017
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ameondoka na tuzo hiyo kutokana na kiwango chake hatari mbele ya goli - akitupia mabao 19 katika michuano yote akiwa na Reds msimu huu.
Salah, ambaye alisaini mkataba kujiunga na klabu hiyo ya Merseyside akitokea Roma kwa kiasi cha takribani paundi milioni 34, alikuwa na mchango mkubwa pia kwa Misri kufuzu Kombe la Dunia 2018 litakalofanyika Urusi.

Nina furaha sana kupata tuzo hii, ni hisia za kipekee sana kwangu," mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea aliambia BBC Sport. "Ningependa kumshukuru kila mmoja; wachezaji wenzangu na watu ninaofanya nao kazi.
"Nina furaha sana hapa klabuni, nimekuwa na mwanzo mzuri sana hapa. Pia meneja [bosi wa Liverpool Jurgen Klopp] amenisaidia kutulia kwenye timu.
"Msimu uliopita ulikuwa mzuri kwangu nikiwa Roma, kwa hiyo nataka kuwashukuru wachezaji wenzangu hapa na kwenye timu ya taifa. Watu ninaofanya nao kazi wana weledi sana na nafurahi kuwa nao. Ningependa kushinda tena mwaka unaofuata."
 
Back
Top Bottom