Kweli unarotate Wachezaji lakini Si Kwenye Mechi Na Chelsea au Everton... Alikuwa asubiri WBA....

 
Tetesi

MAN CITY NA LIVERPOOL ZAMWANIA SERI


Manchester City na Liverpool zinapambana kuipata saini ya kiungo wa Nice Jean Michael Seri, kwa mujibu wa Daily Mail .
Muaivory Cost huyo alihusishwa na tetesi za kutaka kutua Barcelona majira ya joto, lakini kwa sasa yupo tayari kutua Uingereza.
 
Tetesi
COUTINHO KUMALIZIA MSIMU HUU ANFIELD


Philippe Coutinho wa Liverpool yupo tayari kusubiri hadi mwisho wa msimu kujiunga na klabu ya Barcelona, kwa mujibu wa Daily Mirror .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazili anatamani kutua Camp Nou kucheza pamoja na Lionel Messi, lakini analazimika kubaki Anfield kwani Liverpool hawatakuwa tayari kumruhusu kuondoka dirisha la uhamisho wa Januari badala yake ataondoka majira ya joto.
 
Tetesi

BETIS WANATAKA KUMSAJILI STURRIDGE


Real Betis wanaandaa ofa kumsajili Daniel Sturridge kutoka Liverpool, kwa mujibu wa El Gol Digital .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza amekuwa akihaha kutafuta muda wa kucheza zaidi Anfield na atapewa nafasi kutimkia Hispania Januari.
 
Coutinho anaondoka, Emre Can anaondoka! Sasa Nauona Rasmi Utawala Wa Hendo Haupingiki Tena.... Acha Tubakie na Hendo Wetu Next Season tugombanie Top 4...
 
Tetesi
INTER YAPIGANA VIKUMBO NA JUVE KUMSAJILI CAN


Inter wapo tayari kupigana vikumbo na Juventus kwa ajili ya saini ya mchezaji wa Liverpool Emre Can, kwa mujibu wa Tuttosport .
Kiungo huyo atakuwa amemaliza mkataba wake Anfield mwisho wa msimu huu na alikuwa karibu kutua Turin majira ya joto.
 
Klopp usitafute Mchawi!

Haina Haja Ya Kugombana na Waandishi wa Habari Umeyataka Mwenyeo Hayo...
Unamueka Nje COUTINHO, FIRMINO, CAN na GINI Kwenye Derby unategemea nini!?
Ziko Mechi za kupumzisha Wachezaji bhana lakini sio Derby....

 
upload_2017-12-11_14-24-2.png
 
Klopp usitafute Mchawi!

Haina Haja Ya Kugombana na Waandishi wa Habari Umeyataka Mwenyeo Hayo...
Unamueka Nje COUTINHO, FIRMINO, CAN na GINI Kwenye Derby unategemea nini!?
Ziko Mechi za kupumzisha Wachezaji bhana lakini sio Derby....


Ivi nyie mnafikiria mwezi huu kuna mechi ngapi
Nataman nikuone ulivyo bro
 
Ingelikuwa Nikiomba tu Mungu Ananikubalia Basi Ningemuomba Moreno Asipone Tena....
Sio Siri Robertson ananikumbusha Style ya Fabio Aurelio... Dogo noma huyu..

Please Klopp! Huu Ni wakati Wa Kumsahau Moreno.
Huyu Robertson ni mchezaji mzuri sana
Mkuu umenikumbusha mchezaji wetu niliyekuwa namkubali sana Aurelio dah jamaa alikuwa anajua.
Watu wameondoka na mpira wao.
 
Back
Top Bottom