Liverpool haihitaji traditional number 9. Pale ataweza cheza lacazette? No. Team ni nzuri. Mfumo Wa coach cyo Wa kumtegemea mtu mmoja. Liverpool inahitaj Defensive midfielder na central defenders. Tena wawili. Goalkeeper cyo mbovu ila backline ndo inamuangusha Mara nyingi. The team is strong, the bench is strong and the depth is convincing.
mkuu hata kipa anahitajika hawa waliopo sio kiwango cha juu
Kipa anahitajika lakini nahisi Sio Muhimu Sana ukilinganisha na Maeneo Mengine! So, kwanza Turekebishe haya Ya Muhimu Zaidi...
1) Centre Back
2) Defensive Midfielder
3) Centre Forward (Striker/Traditional No 9)
Kuna addition ya Naby Keita next summer kwenye attacking midfielders position...Kwasasa Sitokuwa na Wasiwasi kwa Kuondoka Kwa Coutinho as long as tunae Mo Salah...
Na Depth la Central Attacking Midfield Lipo Vizuri tu... Gini, AOC na Lallana... Ila iwapo ataondoka Coutinho Ni lazima Klopp Asajili Midfield Kuongeza Depth Coz wa uhakika atakaebakia hapo atakuwa Ni Gini & AOC tu... Kwani lallana Ni Prone injury... Tukiwanae Kwa Michezo 3 tunamkosa Kwa Michezo 12... Kwahiyo si Mchezaji wa Kutegemea! Na umri pia unakwenda..
- Ila Kuondoka Kwa CAN ni Tatizo Kwa Timu Kwani Jamaa Ukimlinganisha na Umri utakutia bado anayo nafasi Nzuri tu Ya Kuprove na Kuwa Best Midfielder.. So Kuondoka Kwake Kilaini tu Kwa Uzembe wa Klopp I Don't take it as a Fair....
Would have liked to see Emre Can as captain before GomezNa vile vile sisiti Kuwazungumzia Madogo Wawili (TAA na JG)..
TRENT-ALEXANDER ARNOLD na JOSEPH (JOE) GOMEZ ni Most Talented British Young Defenders Kwa Sasahivi Kuibuka Ndani ya EPL..
Matumaini Yangu Klopp atawaendeleza Kwa Kuwapa more Game Time Kwa Kuwafanyia Rotation ili wote Wapate Game experience.
To be honest TAA ni Mzuri Zaidi Kwa Right Back kuliko Gomez!!! Coz Gomez anajua Kukaba lakini Kwenye Kupanda na Kushambulia Sio Mzuri Kihivyo...
Lakini Kwa Kukaba Gomez ni Bora Zaidi! So, hii inaconclude Kuwa GOMEZ ni NATURAL CENTRE BACK na Wala Sio FULL BACK RIGHT/LEFT..
Ni Wakati Klopp Kumpa experience Gomez Kwa Nafasi Ya Centre Back Kwa Baadhi Ya Mechi Nyepesi zikiwemo Zote za FA..
Na Siombi Kupona Kwa Clyne Kwani Atakuja Kuwa Greatest Obstacle Kwa TAA na Gomez..
Kama Ninamuona Future Liverpool's Captain akitokea Kwa mmoja Kati ya Hawa Wawili!! Na High Percentage IPO Kwa Gomez ndiye atakaemrithi Hernderso.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Robbie alikuwa new signing au academy product?The Man has broken Robbie Fowler record of best new signing goals in 12 games...
Robbie Fowler had 8 goals in his first 12 games.
Can looks likely to leave n sure this boy s not a captain material...ill settle for Gomez any dayWould have liked to see Emre Can as captain before Gomez
kabisaa nivyema kutazama na wengine sio kubaki kwa 60£m VVD...mabeki wapo na bei ya VVD twaweza pata hata wawili ni ma scout kufanya kazi yao kweli kweliKiwango cha sasa cha VVD siyo kizuri!
Tuanze mfikiria Maguire wa LC
Yupo vyema sana
Tarehe 25 mtaielewa defensive machine 3-5+2
Akiweka pride yake pembeni naamini tutamaliza nafadi ya nne bora
Kuna addition ya Naby Keita next summer kwenye attacking midfielders position...