Wakuu mwenye kufahamu link nzuri isokuwa na ads nyingi ya kuangalia hii game tafadhali anifahamishe.
 
Klopp is Genius.......
Watu wengine Vichaa Kweli...
Mtu anatuulisha eti wanamwita Genius..
hawa Tote hawajawai kumfunga Klopp leo naona wameamua kulipisha maana tangu 2012 sidhani kama wamewai kuifunga Liverpool
Ila kwa kweli defence ya Liverpool ni bure kabisaaa na hii zonal marking haituletei faida yoyote...
 
Kuna Mshabiki Mmoja Humu Huwa Anaangalia Mpira Kwa Kutumia Miguu badala ya Macho! Kwahiyo Kila Msimu Huwa Anajitangazia Ubingwa..
Na Mara hii Pia Anatangaza Liverpool ni Bingwa! Sijui Bado Ana imani hiyo?
 
nadhani lile goli la mwisho la kipind cha kwanza ndio limearbu hii mechi liverpool walikuwa wamesha gain.
 
Back
Top Bottom