Sevilla Kala 5 fresh tu..
Liverpool kapiga MTU 7 kavu kavu...

Kumbe Sevilla Misifa yote Alikusudia Kutukamia sisi tu...

Mambo kama haya Ndiyo Tunayotegemea WanaLiverpool tuyaone Kutoka Kwa Klopp na sio Ngonjera...

Nitakuwa Mchoyo was Shukrani iwapo Leo Sitakupongeza Klopp! Hongera Sana..
Ila furaha ya Leo isiwe Maudhi ya Mezi Miwili...

To be Honest: Ninaemuhofia CL ni PSG pekee! Waliobakia Ninajiamini muda wowote..

Klopp Boresha Timu Uwin my trust.
 
Firmino certainly brings a lot to this Liverpool side, but the Brazilian forward's month-long wait for a goal had some wondering whether Klopp needed an out-and-out striker to convert the team's dominance into goals.
 
  • Usajili wa Mo Salah umefanikiwa Kuziba Pengo la S. Mane Kiasi ya Kwamba Halikuonekana Game ya Man U na Maribor...

  • Na ni vyema E. Can Apewe Mkataba asije Akaondoka kwa Free agent ili atakapokuja N. Keita, Can awe ndiye Beckup yake incase of injury katika Defensive Midfield..

  • Na alete Centre Foward Mmoja Wa Uhakika ili Tuwape Somo wale Wanaopaki Basi.
  • Na Atafute Central Midfielder mmoja Awe ni Backup in case Coutinho atatimkia Barcelona.
  • Vile vile atatue Kilio Chetu cha Siku Nyingi Kuhusu Beki wa Kati nalo hana Budi Kulitatua..
Iwapo Klopp atasajili hawa wachezaji Watatu..
  1. Centre Foward/Striker (Mostly recommended)
  2. Central Midfielder (Option/Not necessary)
  3. Beki ya Kati (Highly recommended)
Basi Ninaandaa suti ya kushangiria Ubingwa wa EPL na CL kwa kujiamini na Ndiyo nitakapoani Kuwa Klopp is Genius..
 
Champions League goals this season:
Chamberlain: 1
Arsenal: 0
:D:D:D



22550063_1967914210131143_3856352917784020102_n.png.jpg
 
Back
Top Bottom