Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
great!! pamoja na sub zoteLiverpool wins the trophy
Huyu dogo atarudia kweli kiwango chake?Dk 84
Lovren out
Flanagan Inn
Yap, japo kipindi cha pili kilipoa kidogo baada ya kutoa pacey playersgreat!! pamoja na sub zote
Kwenye games hizi za pre-season nimeona kiwango chake siyo kibaya na style yake ni eliele na no nonsense!
Yap...linkup ya Lallana, Coutinho, Salah, Firmino ni balaa!
Mane hapo akija mmoja hasa Lallana atarudi benchYap...linkup ya Lallana, Coutinho, Salah, Firmino ni balaa!