Kaka mna kipya?, mmejipanga au ndio kama kawaida yenu kusindikiza?1-1
Halftime na Wigan
Mwaka huu tunachukuaKaka mna kipya?, mmejipanga au ndio kama kawaida yenu kusindikiza?
Kama mlivyo mchukua Torres?Baada ya Chelsea kumtaka aubemeyang na nyie mna nyanyua pua zenu kumtaka acheni kutembelea nyota za watu ..tumeshawapa lile li garassa la kimorocco sjui mmisri ambalo lilicheza pale bridge tukaamua liuza. So tafuteni wachezaji wa saiz enu, achaneni na Aubemeyang.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Am 24Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?
Kama mlivyo mchukua Torres?
Mwaka huu tunachukua
Anakuja Keita,Van na Aube
Tutacheza old school 4-4-2 hasimami mtu!
Klopp ameng`ang`ana na Keita aiseh ifike muda akubali jamaa wamebana kumuachia aangalie alternative nyingine muda sio rafiki aisehMilion 70 bado Leipzig wamekataa!
Klopp achana nae bana nenda kwenye target ingine
Chukua Kovacic mbadili awe box to box ambaye pia yy ni cheap!