tunakula sahani moja na serie a
000000000000000000000000000000000-de-vrij.jpg
 

Attachments

  • 000000000000000000000000000000000-de-vrij.jpg
    000000000000000000000000000000000-de-vrij.jpg
    11.8 KB · Views: 43
Tunaweza kuwapa Can + £46mil= Abumeyang
Dah yani Can aondoke tena?Tena kwa ujio wa striker?

Halafu mimi kiukweli kabisa sijawahi kumkubali huyo Aubameyang..Namuonaga tu ni mchezaji wa kawaida ambaye timu ikiishiwa mbinu na yeye anaishiwa..Sio fighter...ili umfurahie timu anayocheza imiliki gem...type ya akina Ozil...mimi nimetokea kuwapenda wachezaji mafaita kuliko wenye skills lakini sio wahangaikaji.Ndomana nampenda sana Mane na nimesapoti kwa asilimia zote ujio wa Salah.Napenda zaidi usajili wa Keita ukamilike kuliko hizo tetesi za Aubameyang
 
Namuhitaji Keita zaidi wa Leizipig yule jembe huyu keita wa lazio ni mzuri sema ushoga wake apeleke arsenal sio liverpool.
 
Wanategemewa kuondoka
1.Sakho....30m
2.markovic....15-20m
3.sturridge......25m
4.lucas............3-5m
5.ings...............10-15m
6.moreno..........12m
Total tuna uhakika wa £100m za mauzo why tusipate majembe kama wanne hivi.
 
Wanategemewa kuondoka
1.Sakho....30m
2.markovic....15-20m
3.sturridge......25m
4.lucas............3-5m
5.ings...............10-15m
6.moreno..........12m
Total tuna uhakika wa £100m za mauzo why tusipate majembe kama wanne hivi.
Ings nae anaodoka kumbe? Huyu nae majeraha hana tofauti sana Sturridge!
 
Wanategemewa kuondoka
1.Sakho....30m
2.markovic....15-20m
3.sturridge......25m
4.lucas............3-5m
5.ings...............10-15m
6.moreno..........12m
Total tuna uhakika wa £100m za mauzo why tusipate majembe kama wanne hivi.

Sakho kwa 30?
 
Back
Top Bottom