SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,430
- 23,748
Ukweli kwamba nyie ni klabu kubwa kuliko Liverpool?Achana nao bhana, AC milan alisha jikalia zake kimya hawa ndo bado midomo inawawasha lakini ukweli wanaujua
☆Steve
Ukweli kwamba nyie ni klabu kubwa kuliko Liverpool?Achana nao bhana, AC milan alisha jikalia zake kimya hawa ndo bado midomo inawawasha lakini ukweli wanaujua
Ebu tujuze kuanzia 2004 hadi Leo umechukua trophies ngapi. Timu kubwa uingerezaKujidai Kote Huko Lakini Timu Yenu imeanzishwa Mwaka 2004, unabisha?
Kabla Ya Mwaka 2004 nothing special exist about Chelsea...
Liverfool kwa historia ni balaaamlisema mnachukua ubingwa this season vip imeshindikana mmebaki kwenye vihistoria uchwara hahahaha,hizo historia zenu ndizo zinaifanya club yenu iwe ya hovyohovyo msipoangalia hata lercercity watawazidi
Historia hutengenezwa na mafanikio mzee. Nyie hamna hayo mafanikio kama ya Liverpool ndiyo maana mnadangadanga hapa.Liverfool kwa historia ni balaaa
Usisahau na uwanja wao wa kukodiKujidai Kote Huko Lakini Timu Yenu imeanzishwa Mwaka 2004, unabisha?
Kabla Ya Mwaka 2004 nothing special exist about Chelsea...
habari njema sana hizi
Mahmoud Dahoud will complete a move to Borussia Dortmund this summer.
Nimeiona hii kule BBC sports. Nikamkumbuka jamaa yangu MosDef. Liverpool wamekuwa watu wa mipango isiyokamilika.
Everton kesho SAA ngapi???game yetu