17362083_10155316431237573_6918199181394455542_n.jpg
 
Mpira kwa sasa umebadilika livapunga kuja kushinda ligi (ingawa hamjawai chukua ligi) sahau. ..kipindi iko mlishinda kwa sababu timu nyingi zilikuwa dhaifu hasa upande wa beki ...lakini kwa sasa mambo yamebadilikaaa .. mtabaki kujitetea na historia tu lakin kwa sasa na hata baadaye kikosi chenu hakina na hakitakuwa na ushindani wa maana kupigania ubingwa (europa, uefa, FA, ligi, na mengineyo) liver ilishakwisha siku nyingi tu; kwa sasa mmebaki na mtabaki kuwa wasindikizaji tuuu manake hamna namna sasa. Livapunga itachukua ubingwa siku mjukuu wako wa mwisho atakapopata mtoto wake wa kwanza hahaha
Sielewi hata unachoongea zaidi tu ya kujichekesha. Haya nyie ambao mnaweza ligi, tangu Liverpool amepotea mmeshinda European Cups ngapi? Mnategemea kuzipata lini? Au umejisikia tu kuhororoja?

☆Steve
 
Despite kulegalega kwake for almost 8 years.

LFC are still considered as one of the 2 biggest clubs in England.

8 years of disspointments from LFC, and Chelsea are still considered as one of the "rising clubs in the EPL"

LFC wanaweza kuwa irrelevant for a long time, but FA, UEFA, FIFA and the entire world hawawezi kuiweka in the same bracket with Chelsea.

in England, only Westham fans are arsed na ninyi kushinda EPL, huwezi kuona LFC/Utd/Arsenal even Spurs wanaumia kuona Chelsea anashinda EPL title. Because hakuna rivaly yoyote baina ya chelsea na hizi teams..

ndo maana fans wa LFC/Utd/Arsenal/Everton/Spurs etc huwa wanaona ni afadhali kwa Chelsea na City kuwin EPL titles lakin siyo hizo teams zingine, because HISTORY imewafanya kuwa na bitter rivaly, and its Sad coz chelsea got no History and no relevant legends..

LFC is and will always be a bigger club in England, and one of the biggest clubs in Europe and the world. Simply because tulianza kutengeza misingi ya Clubs kitambo sana na misingi hiyo haitavunjika kamwe..ndo maana ni moja kati ya Club tajiri Duniani ambazo zinaongozwa "traditionally"..

Liverpool biggest rivals in England are Man utd and Everton..

Man utd biggest rivals in England are LFC, Leeds utd and Man City (its like LFC and Everton)

Arsenal biggest rivals are Spurs and Man utd..

Chelsea biggest rivals are West ham and Fulham..

LFC/Arsenal/Everton/Spurs etc have so many chants but chelsea have only 1-2 chants, moja wapo ikiwa ni ile ya Steven Gerrard hahahaha..on top of that club inanunua flags/banners yenyewe..

Bado una safari ndefu sana ya kutengeneza misingi ya Club yako. You've got a better team, thats it.
Yaani umetumia dakika zote hizo kuandika shit kama hii, sasa twende kazi
 
Kwanza kujilinganisha tu na LFC ni mafanikio kwenu. Hamna hata robo ya walichonacho LFC. Na hamuwezi kamwe kuwa nacho (mark it).

LFC sio washindani wenu kabisa mazee. Japokuwa kwa sasa inalega, ila kabati letu linasimama na kututetea ulimwenguni kote. Chelsea bado mna long way to go. Na usitaraji kwamba, LFC wataendelea kuwa hivyo milele.

☆Steve
Kama hilo kabati litawapa any major trophy then good for you liverfools
 
We always concede after we have scored!!!! Why does this always happen!!! It's so frustrating!! When we go ahead, I'm always still nervous as we never hold a lead, it's literally inevitable. We have like 5 shots on target which is great! But when the other team have one shot on target, they always have a goal! It's becoming a bad habit.
I think you have forgotten that your team is mediocre because the problem is not only to keep the lead but also to restore the lead is something you are incapable of, and if it happens is very rare you mediocre,

You have the history but have no happiness
 
Dawa yenu kuwapotezea tu. Maana mnaandika kama vile hamjui ukweli wenu. Let's see mwisho wenu utakavyokuwa
 
Dawa yenu kuwapotezea tu. Maana mnaandika kama vile hamjui ukweli wenu. Let's see mwisho wenu utakavyokuwa
Kwani ni uongo?? Your squad has got no quality to make you step up and win any thing bigger as you used to be, now you have got only history and nothing more

You differ not with someone who was leading in the class to score higher marks in primary level and unfortunately find him self struggling to get those marks in secondary level and begin to mourn ''i had higher marks'' but at the moment he cant score them,

Your history is really outstanding but you cant do it any more, let those who are capable do it while you are watching. When you are capable bring forth your history and trophies

But i wonder why you always mention historical trophies!!!! What about historical drought of those trophies?? You never mention it

1.UCL 2005-2017 .......
2.EPL 1990-2017........

that also deserves to be a real history of yours liverfools
 
You cant come here and start to combobulate one of the Greatest soccer club around the World!
So please if you have any negative issues against Liverpool go and post on your personal wall!
Being a bomboozled is a cardinal sign of empty-bold-head about soccer!
You dont know anything about Liverpool.
I strongly defend our famous jersey:Kopites-Red!
Get out here please,we dont need you
This forum is for Liverpool family to make their tete-a- tete and you are not among us
Get out kid!
 
I think you have forgotten that your team is mediocre because the problem is not only to keep the lead but also to restore the lead is something you are incapable of, and if it happens is very rare you mediocre,

You have the history but have no happiness

The Undeniable Truth is, Your Team is RISING team and Not a Big Team! That is Why You Have Rivals in EPL, Neither Man U, Liverpool nor Arsenal is Your Rivals, Whether You Want or not! Before 2004 nothing known about Chelsea... No History, No Known Legend etc.. You Have only Veterans like De Matteo, Babayaro and Vialli....

You have only Rising Team that is established 2004! You can't Compare Your Team with Arsenal, Liverpool and Man You...
Before Becoming Big Team Firstly Create Your Own History and Legends....
 
Kama hilo kabati litawapa any major trophy then good for you liverfools
Pinga kwa hoja. Umekosa cha kusema unarukaruka. Hilo kabati lenu hata mkipewa miaka mia haliwi kama la Liverpool kamwe! Hata kama tukiacha kucheza mpira. (Bitter truth)

☆Steve
 
The Undeniable Truth is, Your Team is RISING team and Not a Big Team! That is Why You Have Rivals in EPL, Neither Man U, Liverpool nor Arsenal is Your Rivals, Whether You Want or not! Before 2004 nothing known about Chelsea... No History, No Known Legend etc.. You Have only Veterans like De Matteo, Babayaro and Vialli....

You have only Rising Team that is established 2004! You can't Compare Your Team with Arsenal, Liverpool and Man You...
Before Becoming Big Team Firstly Create Your Own History and Legends....
Acha kujichosha mzee. Unadhani hawajui? Katimu chenye UCL trophy moja, eti kanakuja hapa kushindana na Liverpool.

☆Steve
 
Acha kujichosha mzee. Unadhani hawajui? Katimu chenye UCL trophy moja, eti kanakuja hapa kushindana na Liverpool.

☆Steve
mlisema mnachukua ubingwa this season vip imeshindikana mmebaki kwenye vihistoria uchwara hahahaha,hizo historia zenu ndizo zinaifanya club yenu iwe ya hovyohovyo msipoangalia hata lercercity watawazidi
 
Watatuzidi nini? Ya kwako imetuzidi nini? Onyesha hyo historia yenu isiyo uchwara hapa.

☆Steve
 
mlisema mnachukua ubingwa this season vip imeshindikana mmebaki kwenye vihistoria uchwara hahahaha,hizo historia zenu ndizo zinaifanya club yenu iwe ya hovyohovyo msipoangalia hata lercercity watawazidi
Achana nao bhana, AC milan alisha jikalia zake kimya hawa ndo bado midomo inawawasha lakini ukweli wanaujua
 
Back
Top Bottom