7d8d270396edb87596769fa240c6bc7b.jpg
 
Liverpool TUNACHUKUA ubingwa wa EPL
Mnaweza niona kama chizi leo lkn April mtakumbuka nisemayo
January 31 Chelsea namchapa easy kabisa
Chelsea kama mmemuona teams zimeisha jua plays zao
Hawezi toka kwa Liverpool,Everton,Man City,Man u na Arsenal

Ata mkicheza ligi yenu wenyewe amuwezi kuchukua Epl.
 
Mmekuwa team y historia tu nowdays
Toka aondoke Fegie hata CL hamtacheza for decades
Take my words!
Kaondoka misimu mitatu iliyopita, Makocha wote wawil walio fuata yaan Moyes na LVG wameshiriki Uefa kwa maana ya UCL manake europa nayo n n Uefa vile vile, na hata sasa hv timu iko uefa, SAF kaondoka, timu imebeba vikombe ambavyo Liverpool +Arsenal combined ndani ya huo muda hawana, Iko final EFL, iko 16 bora Europa, iko round ya 3 FA, inapishana point 5 na alie nafasi ya pili, ndio timu pekee Uingereza iliyoko kwenye mashindano 4 tofaut

On top of that, iko chini ya manager bora wa kizaz hiki, Usisahau tu Klopp kaanza na Mourinho kazi ya ukocha mwaka 2000, ila mafanikio yao sasa, mbingu na ardhi
 
Liverpool TUNACHUKUA ubingwa wa EPL
Mnaweza niona kama chizi leo lkn April mtakumbuka nisemayo
January 31 Chelsea namchapa easy kabisa
Chelsea kama mmemuona teams zimeisha jua plays zao
Hawezi toka kwa Liverpool,Everton,Man City,Man u na Arsenal
Labda ubingwa shidi ya Liverpool vs Everton
 
Kaondoka misimu mitatu iliyopita, Makocha wote wawil walio fuata yaan Moyes na LVG wameshiriki Uefa kwa maana ya UCL manake europa nayo n n Uefa vile vile, na hata sasa hv timu iko uefa, SAF kaondoka, timu imebeba vikombe ambavyo Liverpool +Arsenal combined ndani ya huo muda hawana, Iko final EFL, iko 16 bora Europa, iko round ya 3 FA, inapishana point 5 na alie nafasi ya pili, ndio timu pekee Uingereza iliyoko kwenye mashindano 4 tofaut

On top of that, iko chini ya manager bora wa kizaz hiki, Usisahau tu Klopp kaanza na Mourinho kazi ya ukocha mwaka 2000, ila mafanikio yao sasa, mbingu na ardhi
Yaah klopp na vikombe vyake sijui 5 uku mou ana zaidi ya vikombe 20
 
Yaani Ulimbukeni Mwengine Unaishia Kumfanya Ajistukie Baada Ya Kuona Wenye Nyumba HawamQuote na Wanaishia Kumpuza.....
Yani Mtu From No Where anakuja Kuvamia Jukwaa la Watu Na Kujifanya Kama Analifahamu Kitambo hivi...

BTW: Walikuja Wengi Hapa Kama Hawa na Baada Ya Kuwapuuza Mwisho Wakajistukia Wakakimbia!! Wacha na Wewe Tukupuuze.....

cc Leloo June
 
Kaondoka misimu mitatu iliyopita, Makocha wote wawil walio fuata yaan Moyes na LVG wameshiriki Uefa kwa maana ya UCL manake europa nayo n n Uefa vile vile, na hata sasa hv timu iko uefa, SAF kaondoka, timu imebeba vikombe ambavyo Liverpool +Arsenal combined ndani ya huo muda hawana, Iko final EFL, iko 16 bora Europa, iko round ya 3 FA, inapishana point 5 na alie nafasi ya pili, ndio timu pekee Uingereza iliyoko kwenye mashindano 4 tofaut

On top of that, iko chini ya manager bora wa kizaz hiki, Usisahau tu Klopp kaanza na Mourinho kazi ya ukocha mwaka 2000, ila mafanikio yao sasa, mbingu na ardhi
Embu nawa uso na utikise kichwa kidogo uuweke ubongo wako sawa kabla hujajibiwa
 
Yaani Ulimbukeni Mwengine Unaishia Kumfanya Ajistukie Baada Ya Kuona Wenye Nyumba HawamQuote na Wanaishia Kumpuza.....
Yani Mtu From No Where anakuja Kuvamia Jukwaa la Watu Na Kujifanya Kama Analifahamu Kitambo hivi...

BTW: Walikuja Wengi Hapa Kama Hawa na Baada Ya Kuwapuuza Mwisho Wakajistukia Wakakimbia!! Wacha na Wewe Tukupuuze.....

cc Leloo June
Mchezo huu hauhitaji hasira. Tulia tu braza. Wewe unavyojaza shombo zake kwenye thread ya United, unaona raha: mkuki kwa nguruwe eh!!
 
Embu nawa uso na utikise kichwa kidogo uuweke ubongo wako sawa kabla hujajibiwa
Hakuna mtu wa kuweza kujibu hapa

So far Man Utd iko unbeaten michezo 16 sasa in all competitions, Hakuna club yeyote ndan ya ligi sita bora dunian kwa sasa ambayo iko kwenye unbeaten run ndefu namna hii, SAF aliwah fikisha 18 ambayo ndio ndefu zaid kwake, bado mechi 2 Mourinho aifikie,, kati ya hz gemu 16, 12 n Premier League ... Bossing everywhere

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom