Live - Uzinduzi wa Kampeni kali za ubunge za Salum Mwalimu kwa Ally Mapilau

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE.

Kauli hii ilitolewa na Mwl Nyerere miaka mingi iliyopita na leo inatimilishwa kikamilifu sana na CHADEMA .

Karibuni makamanda wote kwa UPDATES .

Mungu ibariki Chadema .
 
Tupo hapa mkutanoni mkutano wa Chadema wa uzinduzi wa kampeni umedoda hasa sio mchezo Yale mafuriko ya Lowasa hayapo ni aibu tupu
 
Utapeli unasameheke
Mbona CCM ina dhambi ya ufisadi, udhurumaji, rushwa, uuaji wa kutesa, ukandamizaji, unyang'anyi, uongo lakini bado Mungu anaisamehe..!!??
Hayo madhambi uliyoyataja naona umeweka sample tu,
Ki uhakika hayo uliotaja ni only 0.00001% ya madhambi halisi ambayo wanayo.
Na unajuaje kama Mungu anaisamehe??
 
Back
Top Bottom