Live Updates VPL: Yanga V Prisons, Mkapa stadium.

Yanga hii ni tamu sana. Chemistry ya wachezaji ikikaa sawa, hakika timu ya wananchi itatisha sana msimu huu. Timu iko vizuri.

Tuisila Kisinda anahitaji tu kujengewa uwezo wa kutulia na mpira, na pia kupunguza ubinafsi awapo ndani ya 18! Tanzania Prisons ni wakamiaji tu kama Mbeya City. Kuanza na sare siyo mbaya!

Bado kuna mechi nyingi zinakuja za kuipa timu yetu point 3 muhimu.
 
Chupa mpya mvinyo ule ule. Tunangoja visingizio. Pamoja na kubebwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom