OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,164
- 103,620
Aje ashuhudie mabingwa wa nchi
Hakuna kitu kinanichukiza kama hicho hakika sifurahiiiii hiki kiKocha sikipendi kwa mbinu zake. Unacheza na Ihefu au Biashara na Mshambuliaji mmoja tukicheza na TP Mazembe si ndio tutacheza na Viungo timu nzima!Bado mshambuliaji ni mmoja
Kabanwa na Msuli akatolewa baada ya kupiga mpira akaukosaNilitoka ,Mbona Fragakatoka imekuwaje!