Live updates: Uzinduzi wa matawi ya CBE na DIT, hapa Don Bosko, Upanga...

Anatoa rai, vijana wasijifiche kwenye jamiiforums na facebook, wawe jasiri kwenye kugombea nafasi mbalimbali..
 
Anaendelea toa ufafanuzi, vijana tuache lalamika, tutoe mipango na mikakati ya kutatua matatizo..
 
Mbona mnatuchanganya vyuo vya CBE na DIT vipo Morogoro road na Bibi Titi road, sasa kwa nini hayo matawi yafunguliwe Don Bosco Upanga kwenye kituo cha vijana kilichopo chini ya kanisa katoliki, kwa nini wasifungulie kwenye vyuo vyao?

punguza kutoa povu la udini, siasa hairuhusiwi vyuoni..
 
Hilo jembe najipanga kulishusha Ukonga ili liyavue magamba ya kutosha. nyinyiem wakilisikia mahali matumbo yanawaunguruma na kuanza safari za mara kwa mara kuelekea msalani.

Mkuu jitahidi apige walau mikutano mitatu Ukonga.
 
Mpaka sasa, zinaendelea tolewa hotuba mbalimbali na viongozi wa CDM tawi la CBE..
 
Mbona mnatuchanganya vyuo vya CBE na DIT vipo Morogoro road na Bibi Titi road, sasa kwa nini hayo matawi yafunguliwe Don Bosco Upanga kwenye kituo cha vijana kilichopo chini ya kanisa katoliki, kwa nini wasifungulie kwenye vyuo vyao?

Huo ni mtazamo wako tulishatoka huku mnajaribu kila mbinu mnafail.CDM wanasonga mbele.
 
Duh poleni sana magamba, mkisikia chadema roho kwatu, mnaanza propaganda zenu mara za ukabila mara za udini, propaganda izo ni za kizamani sana kwa hayo tulisha washtukia tangu 2010, badilisheni staili 2015 inakaribia zaidi jiandaeni tu magamba kuzikwa rasmi 2015
 
Mbona mnatuchanganya vyuo vya CBE na DIT vipo Morogoro road na Bibi Titi road, sasa kwa nini hayo matawi yafunguliwe Don Bosco Upanga kwenye kituo cha vijana kilichopo chini ya kanisa katoliki, kwa nini wasifungulie kwenye vyuo vyao?

Don Bosco ni moja ya kumbi mashuhuri Dar kama ilivyo Karimjee n.k.Na yamekua yakifanyika matukio mbalimbali yakiwemo ya kiislam. Mfano Madaktari wakati wa mgomo walikua wakikutana hapo Madoctor wote ni wakatoliki?????

Kama kunachama ambacho kinaeneza udini na ukabila basi ni CCM hii imedhilishwa katika kauli za viongozi wao Mfano Katibu mkuu wa CCM Willison Mukama.

Hizo vurugu zilizotokea Zanzibar huko kuna CHADEMA. Ni wazi ya kua CCM hawana mashiko wala hoja ya msingi wanatuingiza katika maswala ya udini na ukabila ili kutuondoa katika katika hoja za msingi.Ufisadi,Uwajibikaji,ubadilifu,rushwa,kujivua gamba n.k.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom