by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Wote mbona tunao humu ukumbini.
Kamanda naomba nikuulize swali mtachukuwa kata zote nne?
mkuu sijakuwepo arusha kwa kipindi kama miezi sita ila kunakipindi nilipita kimandolu maeneo ya kurugenzi kumsalimu mama mkwe wangu katika maongezi yetu akagusia siasa na kiumri ni mama mwenye umri mkubwa lakini mapenzi aliyoyaonyesha kwa chadema yalinipa faraja sana nikajua chama kipo miyoyoni mwa wakazi wa arusha na wengi wanamkubali lema..kwa kimandolu ninauakika chadema watapita na ilisuala la ukabila kama kweli lilizungumzwa na wazee wa kimasai basi ili nianguko kubwa la ccm kwa kanda ya kaskazini kwasababu jiji la arusha limejaa wachaga wengi sana..ata ukipanda coasta za moshi arusha vijana wengi ni pipo poweeer na awana hofu wanavaa nguo na vitu vingine vyenye nembo ya chadema bila wasiwasi tofauti na mikoa mingine hapa Tz .MUNGU IBARIKI TZ MUNGU IBARIKI ARUSHA NA CDM