Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Chama changu CCM wako wapi makada waliokuwa wakiivishwa Kivukoni kiasi cha kupandisha majukwaani comedians wasema hovyo na waliotoswa kwenye vyama vyao Hivi hamuwaoni wazee wenye busara walivyokaa kimya wakiacha chama chetu kikielekea kusiko.Hii sumu ys Arusha tayari iko Mara Mbeya Dar es Salaam Kigoma Mwanza na hovi karibuni Mtwara.Kuna haja ya kubadili strategy Vyombo vya dola visitumike kabisa Kamamaandamano waacheni usiku watalala vinginevyo mnazidi kuwaongezea Cdm umaarufu.Akili zaidi hii generation ya wapiga kura siyo ile yetu ya chagua jembe
 
Asante sana mkuu Mungi na makamanda wote on the field tunasubiri updates moto moto toka Benghazi !!

Mkuu kazi yetu ilikuwa nzuri sana.............. kwakweli hata kilo zimeongezeka kwa furaha isiyo kifani.
Wapiga kura wa Arusha wameudhihirishia ulimwengu kuwa CCM haikubaliki Arusha, na haitashinda tena Arusha hata aje Obama awasaidie kupiga kampeni.
 
Makamanda wote wa Arusha Arushaone, Mungi, Filipo, Daudi Mchambuzi, Earthmover, Jackbauer, LiverpoolFC, Mzee wa Shamba, PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Crashwise pamoja na makamanda wengine wote ambao sijawataja, naomba mpokee salamu zenu za pongezi kutoka kwa mpiganaji mwenzetu Matola ambaye majukumu yamemtinga na yuko remote area ambako ameshindwa kupata access ya JF.

Kwa namna ya pekee kabisa anawapongeza na kuwashukuru kwa kuiongoza Arusha kufanya chaguo sahihi na bora kabisa kwa mustakabali wa ustawi wa demokrasia hapa nchini.
 
Last edited by a moderator:
1003668_555318464530346_1865973630_n.jpg
 
Siku zote furaha ikizidi uzusha majanga,manaake aitatamani kukesha kwa Jimmy mwisho wa siku atakula mpaka posho za Bavicha mitandaoni kesho iwe mshike mshike mtaa Ufipa vijana wanadai chao.

Mkuu Mingoi heshima kwako
 
Last edited by a moderator:
Makamanda wote wa Arusha Arushaone, Mungi, Filipo, Daudi Mchambuzi, Earthmover, Jackbauer, LiverpoolFC, Mzee wa Shamba, PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Crashwise pamoja na makamanda wengine wote ambao sijawataja, naomba mpokee salamu zenu za pongezi kutoka kwa mpiganaji mwenzetu Matola ambaye majukumu yamemtinga na yuko remote area ambako ameshindwa kupata access ya JF.

Kwa namna ya pekee kabisa anawapongeza na kuwashukuru kwa kuiongoza Arusha kufanya chaguo sahihi na bora kabisa kwa mustakabali wa ustawi wa demokrasia hapa nchini.

Heshima kwako Mkuu.................. tunashukuru kwa shukrani za Matola, lakini zaidi sana na kwa heshima sana nitakuwa mvivu bila kukushukuru wewe kwa salamu zako za jana, kwa kweli tulisherekea vizuri na makamanda wenzetu Filipo, Crashwise, Jackbauer, na LiverpoolFC.

CHADEMA is one Product with the same standard!!!
 
Last edited by a moderator:
Amini usiamini ule mlipuko wa bomu arusha ulisaidia sana cdm kupata kura za huruma.hali ilikuwa mbaya kwa chadema kabla mlipuko ule haujatokea. Sasa changanyeni akili zenu mtajua wahusika halisi wa lile bomu ni wakina nani ? Na pia liliwanufaisha nini.

HUTAKI UNAACHA.

Mkuu bucho watanzania hawataki uchochezi,kikubwa CCM iangalie watu wake wanaoifanyia kampeni kama ni watu ambao wanastahili kuendelea na hilo kwani zaidi ya kuwafanya wapoteze kura, watu hao wamezidi kuifanya CCM ionekane ni kituko na kejeli na kudharaulika. CCM ikiendelea na watu wale wale na mbinu zile zile wapinzani hawana la kufanya isipokuwa kuendelea kucharaza watu bakora ya kura; ndio utamu wa demokrasia.
 
Last edited by a moderator:
Makamanda wote wa Arusha Arushaone, Mungi, Filipo, Daudi Mchambuzi, Earthmover, Jackbauer, LiverpoolFC, Mzee wa Shamba, PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Crashwise pamoja na makamanda wengine wote ambao sijawataja, naomba mpokee salamu zenu za pongezi kutoka kwa mpiganaji mwenzetu Matola ambaye majukumu yamemtinga na yuko remote area ambako ameshindwa kupata access ya JF.

Kwa namna ya pekee kabisa anawapongeza na kuwashukuru kwa kuiongoza Arusha kufanya chaguo sahihi na bora kabisa kwa mustakabali wa ustawi wa demokrasia hapa nchini.

......Shukrani Kamanda.... tunavuta oksijeni ya Chadema!!!!!

CC ........ The Big Show (Kamanda wa Kusini)
 
CCM kwisha habari yao, shukrani kwa kamanda Mwita Maranya kwa kunipa taarifa hizi za kifo cha Magamba na kunitag hii thread.

Mkuu Mwita Maranya kwa furaha niliyonayo imebidi nitoke kule vijijini nilipokuwepo na sasa nimesogea mjini kidogo na nimekodi Hotel maalum kwa ajili ya kupumzika na kusoma thread hizi za Arusha maana nilikuwa gizani.

Sina mengi leo mimi ni msomaji tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kazi yetu ilikuwa nzuri sana.............. kwakweli hata kilo zimeongezeka kwa furaha isiyo kifani.
Wapiga kura wa Arusha wameudhihirishia ulimwengu kuwa CCM haikubaliki Arusha, na haitashinda tena Arusha hata aje Obama awasaidie kupiga kampeni.[/QUOTE

KUDOS MAKAMANDA WOTEE NA POLENI KWA KAZI NGUMU, HISTORIA YA NCHII HIKI ITAKAPOANDIKWA UPYA 2015 MAJINA YENU YATAKUWA KURASA ZA MBELE KABISA!!
 
Makamanda wote wa Arusha Arushaone, Mungi, Filipo, Daudi Mchambuzi, Earthmover, Jackbauer, LiverpoolFC, Mzee wa Shamba, PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Crashwise pamoja na makamanda wengine wote ambao sijawataja, naomba mpokee salamu zenu za pongezi kutoka kwa mpiganaji mwenzetu Matola ambaye majukumu yamemtinga na yuko remote area ambako ameshindwa kupata access ya JF.

Kwa namna ya pekee kabisa anawapongeza na kuwashukuru kwa kuiongoza Arusha kufanya chaguo sahihi na bora kabisa kwa mustakabali wa ustawi wa demokrasia hapa nchini.

Tunashukuru sana Mwita Maranya Matola na hakika Mwenyenzi MUNGU hakika ameonekana pale anapohitajika.

Hakika MUNGU yupo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom