Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Hongereni sana wananchi wa Arusha kwa moyo wenu wenye upeo wa kuona mbali zaidi na nia hasa ya kweli ya kutaka mabadiliko Nchi hii
mmetupa kile tunachostahiri watanzania kwa Ujumla
Ombi letu fanyeni kazi kwa bidii..huu ni mwanzo mzuri sana
 
Pamoja na ushindi wenu uchwara lakini bado mkoa wa Arusha uko chini ya serikali ya CCM.
Mkuu wa wilaya ni wa CCM, mkuu wa mkoa ni wa CCM, RPC ni wa CCM, RCO, REC, RDD wote hao ni wa CCM.

Kupata ushindi wa vikata vinne imekuwa big deal?.

CCM WILL BE IN POWER FOREVER
Kwani unatumia nini kufikiri?
 
Aibu kubwa kabisa kwa uchaguzi huu wa Arusha imwendee mwanajf mmoja anayekwenda kwa jina la Mwanjelwa, ambaye ameamua kujidhalilisha kupitia posts zake za leo, ambapo amejivua nguo hadi hatua ya kufikia kuahidi kwamba kama cdm watachukua japo kata moja ATAHAMA NCHI.

Ni aibu sn kwa mtu usiyejua lolote kuhusu Arusha, kujitoa fahamu na kujilinganisha na akina Juliana Shenzi na Stella Mwampamba kuleta taarabu za kishankupe majamvini...hovyo kabisa.
Chezeya. Siyo kuvamia majukwaa wkati muzik huujui.!

By the way, kuna member mmoja amekuuliza mahali kwenye thread hii kuwa ulirudisha mataulo na soap-dishes ulizochapa pale SNOW-CREST ARUSHA?

Nakuomba majibu.

hahahahaahahahahahaha! Arusha tunawaachieni tu. Ni sehemu ndogo sana ya nchi. Si umeona tulivyowagalagaza maeneo mengine ya nchi?! Alafu, ni muhimu kuwa na wapinzani angalau hapo Arusha. Haiwezekani ukapendwa na kila mtu nchi nzima. Hata yesu wala Mtume hakupendwa sehemu zote, na mpaka leo!

Tunawapongezeni sana kwa ushindi finyu. Mpambano unaendelea na aluta continua.
 
Mods naomba huyu mjinga anayechezea uhai wa watu afungiwe kuja jf hadi uchaguzi uishe

cc Invisible Moderator
Mkuu G Sam nafikiri haujamwelewa vizuri Mheshimiwa Appoh. Hakuwa na maana mbaya, kama nimemwelewa alirusha dongo upande wa pili kwa staili ya kutahadharisha.
 
Amini usiamini ule mlipuko wa bomu arusha ulisaidia sana cdm kupata kura za huruma.hali ilikuwa mbaya kwa chadema kabla mlipuko ule haujatokea. Sasa changanyeni akili zenu mtajua wahusika halisi wa lile bomu ni wakina nani ? Na pia liliwanufaisha nini.

HUTAKI UNAACHA.

Unaongea nn?
 
Naona mnaanza kuweweseka...dahambi ya kuua watu wasio na hatia haitawaacha bila kuvuna matokeo yake.
 
''Kata yangu ya usimamizi wa Uchaguzi Arusha Mjini, kata ya
Kaloleni. Tumeshinda vituo vyote 27. Ukichukua kura za CUF,
Demokrasia Makini, na CCM pamoja hazifikii nusu ya kura za
CHADEMA. Again, asanteni sana wana-Arusha. Tutaendelea
kulipigania Taifa hili Hata ikibidi kwa kuuza figo, tutauza.'' By joshua nassari
 
Majina ya A town bhana!yamekaa kiukombozi zaidi..Themi..elerai..Kimandolu..Kaloleni..Sombetini..raha tupu kuyatamka,..Mwigulu aargh,nimejiuma ulimi kwi kwii!
 
Kweli akili zako changanya na za wengine,hivi na huyo mchumi daraja la kwanza aliamini toka moyoni kuwa wana arusha hata wakipigwa mabomu na kuuwawa watawapa kura CCM???udsm bhana mbona hivyo huyu poyoyo anawaaibisheni sana.

Mbona povu hivyo mkuu? mambo ya Mwigulu na CCM yametoka wapi hapa? mimi nimewapongeza wakazi wa Arusha kwa kazi nzuri waliyoifanya, sasa wewe unanitukana kwa kosa gani?
 
SHETANI KAPIGWA MAPIGO 7 PAMOJA NA WAFUASI WAKE SASA WANATAPATAPA.ONA WANAVYOJINYEA ONA MA------ YA HUYU MSOLWA NA KAULI ZAKE TATA.Page 32 Ona kauli zake linganisha na kauli ya Page 125!Subiri kutolewa roho na magaidi wa CCM kwa kushindwa kutimiza malengo ya kutoa roho za waTz na kura za wizi.Teheteheteheee wananjinyeanyea hao,CCM wameinama CDM wamemtia dol...Mkajipange kuanza maisha ya uraiani na miguu michemba.KUMBE RPC ni WAO????????????

By Msolwa Chadema ikipata kata zaidi ya mbili, nahama Tanzania...page No.32

By Bocho.
Amini usiamini ule mlipuko wa bomu arusha ulisaidia sana cdm kupata kura za huruma.hali ilikuwa mbaya kwa chadema kabla mlipuko ule haujatokea. Sasa changanyeni akili zenu mtajua wahusika halisi wa lile bomu ni wakina nani ? Na pia liliwanufaisha nini.

HUTAKI UNAACHA

quote_icon.png
By Msolwa Pamoja na ushindi wenu uchwara lakini bado mkoa wa Arusha uko chini ya serikali ya CCM.
Mkuu wa wilaya ni wa CCM, mkuu wa mkoa ni wa CCM, RPC ni wa CCM, RCO, REC, RDD wote hao ni wa CCM.

Kupata ushindi wa vikata vinne imekuwa big deal?...Page 125

CCM WILL BE IN POWER FOREVER
 
''Kata yangu ya usimamizi wa Uchaguzi Arusha Mjini, kata ya
Kaloleni. Tumeshinda vituo vyote 27. Ukichukua kura za CUF,
Demokrasia Makini, na CCM pamoja hazifikii nusu ya kura za
CHADEMA. Again, asanteni sana wana-Arusha. Tutaendelea
kulipigania Taifa hili Hata ikibidi kwa kuuza figo, tutauza.'' By joshua nassari

Mkuu uko sawa, kama Mandela alikula mvua miaka 27 afu akawa Rais naamini pamoja na ukatili tunaofanyiwa na akina kikwete huenda tusiwe kama akina mandela nchi itachukuliwa soon!
 
Amini usiamini ule mlipuko wa bomu arusha ulisaidia sana cdm kupata kura za huruma.hali ilikuwa mbaya kwa chadema kabla mlipuko ule haujatokea. Sasa changanyeni akili zenu mtajua wahusika halisi wa lile bomu ni wakina nani ? Na pia liliwanufaisha nini.

HUTAKI UNAACHA.

DVR bado ipo kijana wetu! Hili likiwaponyesha mafisadi Mi natafuta uhamiaji Sudan ya Kusini!
 
Mbona povu hivyo mkuu? mambo ya Mwigulu na CCM yametoka wapi hapa? mimi nimewapongeza wakazi wa Arusha kwa kazi nzuri waliyoifanya, sasa wewe unanitukana kwa kosa gani?

Mzee Tumsifu kuwa verified member ni heshima kuu hapa JF sasa unapotaka kuwatenganisha CCM Na mambo Ya MIGULU MICHEMBA nashindwa kukuelewa.Hao ni wamoja usiwatenganishe hata kama ukweli mchungu!
 
Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Arusha umefanyika jana tarehe 14/7/2013. Katika kata zote nne zilizofanya uchaguzi jana,CHADEMA wameibuka washindi. Wana-Arusha wameichagua CHADEMA. Kwanza niwapongeze CHADEMA kwa ushindi huo mnono. Pili,niwasihi viongozi na wanachama wenzangu wa CCM kukubali kuwa siasa zetu zimepitwa na wakati. Nasema hivi kwa uchungu mwingi.Wako wanaopendezwa na zilivyo.Mimi si mmoja wao.

Siasa za kutembeza,kutangaza na kupandikisha chuki na hila hazifai tena.Hakukuwa na haja ya kutembea na kupanda jukwaani na Tesha-wa-Igunga ili kuwaaminisha wapigakura kura CHADEMA hawafai na ni magaidi.Hakukuwa na haja ya kupandikiza hoja ya ukabila baina ya wapigakura wa Arusha.Kulikuwa na haja ya hoja.Hoja za kujenga.Kulikuwa na haja ya kuonesha tulichokifanya kama chama tawala katika miaka takribani mitatu angalau tangu uchaguzi wa 2010. Kulikuwa na haja ya kuwaaminisha wapigakura kimatendo kuliko kimaneno.

Arusha na mikoa mingine sasa inakataa siasa chafu. Inataka safi. Inataka siasa za kujenga zaidi kuliko kubomoa. Wapigakura wa sasa hawahitaji kanga,kofia,ubwabwa,rangi za bendera,kashfa za wagombea, utanashati wa wagombea wala kwamba chama kiliwahi kuongozwa na Nyerere. Wanataka maendeleo. Basi.Hawadanganyiki tena. Sasa wamekomaa. Wameimarika.Wanasonga mbele kuelekea kutoa hatima ya nchi hapo 2015.

Kabla ya Uchaguzi huu wa Arusha, nilishaandika mara kadhaa juu ya kitakachotokea kule.Pia,nilifika kushuhudia mambo yalivyokuwa. Nilisema mapema kabisa kuwa 'Siendi Arusha'. Pia, 'Arusha iachwe ichague' na kadhalika.Kwa ujumla, sikuona ushindi wowote uliokuwa unanukia kwa chama chetu cha Mapinduzi. Hakukuwa na dalili wala uhalisia. Siasa za kutetea 'yote' ya chama nazo zinakoma sasa. Mambo yapo tofauti. Pale Arusha,mpambano umekwisha kwa CHADEMA kuibuka washindi. Nne bila!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom