Live UPDATES: UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA DARAJA MBILI, ARUSHA.

Hii ni mida ya Mlo.
Angalieni sana hot-pot za chakula zinazoingizwa hapo ndani, maana ccm watatumia mbinu zozote kufoji ushindi.

Kama uchaguzi wa ndani ya chama chao wanaweza kuzungukana kiasi kile mjue wanapopambana na cdm ni kama vile wanapambana na chui.
 
komaeni makamanda hatutaki kijani tena... imetutawala ovyo vya kutosha... sasa tuangalie chama chetu tawala kipya chadema... ila angalizo wakivuruga nao tuna bwaga tunahitaji mabadiliko ya ukweli
 
Nafurahi kupata taarifa kila kua vijana wapo imara kulinda hizi kura,viva CDM.
 
Wanabodi, nikiwa ktk kuhamasisha kuhusu kulinda kura leo asubuhi, policcm wameniweka kwenye gari lao kwa saa 5 mfululizo. Nikiwa napita vituo mbalimbali na kutoa angalizo kwa mawakala wa CDM walitokea policcm na kuniweka kwny gari lao, now niko free.
 
pole sana kamanda, harakati zote zinaambatana na misukosuko.
 
Wanabodi, nikiwa ktk kuhamasisha kuhusu kulinda kura leo asubuhi, policcm wameniweka kwenye gari lao kwa saa 5 mfululizo. Nikiwa napita vituo mbalimbali na kutoa angalizo kwa mawakala wa CDM walitokea policcm na kuniweka kwny gari lao, now niko free.

Nini kwani kimetokea mkuu mpaka wakakualest? hizi siasa sijui tendwa hazioni?
 
Mbona kimya tena, A1 vipi mkuu wamekurukia tena!!!!
hawa jamaa wa tume ya uchaguzi wapo maeneo ya kupigia kura ama wameewaachia ccm ku dectate everything.
 
Kutokana na sababu zilizoko nje ya uwezo wangu, nimeondoka ghafla sehemu ya tukio na nawaomba sana makamanda muwe wapole na piga ua garagaza matokeo yatatoka tu. Unapoona maisha yanakaribia hatarini ni bora kuwaepuka wajinga ufike safari yako. M4C!!!
 
Back
Top Bottom