Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Hata ingetokea yanga hii nisingeshangilia kabisa..yan ligi yetu bado sana aisee
Njaa zinaharibu hii ligi
Tatizo waliokuwa wanashangilia enzi za MALINZI ndio leo wanalia nyakati za KARIA... Leo kwangu kesho kwako.
Ligi yetu inavurugwa na viongozi na sisi washabiki kwa ushabiki wa kijinga, Ikiwa kwako furaha, kwa wengine wanabebwa.
 
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Kubebwa tumebebwa na mpira mbovu tumecheza,ila penati zipo clear hazina shida. Halafu Okwi hakuwa offside wakati mpira umepigwa. Usijifichie kwenye uSimba wewe ni chura
 
Karia sio wakuchekewa tena anaua mpira wetu.. TAKUKURU ingieni kazini hii aibu sasa. .
 
Wambie sisi nawao nani mabwege?? Maana jana wachezaji wa yanga walisusia mazoezi kisa mshahara mwezi wa tano hawajalipwa,sasa mshabiki matonya fc unakuja hapa nakusema simba nimabwege,tumefka robo fainal ya caf nyie mlifka mwaka gani huku??
Achana nap hao mkuu makelele fc
 
Aaaa mikia mmezidi natamani mshuke daraja siyo kwa kubebwa kule, yani siwapendi kwanza hamna timu litimu gani hilo halishindi hadi libebwe nasikia uchungu sana natamani kulia.


Alisikika chura mmoja akisema

Simba nguvu moja
 
Ushabiki usitufanye tuwe vipofu nafahamu wewe nimwanamke mpenda mpira tena sana lkn penye ukweli sema kweli ni kwa manufaa mazima ya mpira wetu wala sio vinginevyo.
Msituchoshe tusichoshane pambaneni na yanga yenu ya simba hayawahusu kabisa
 
Yalivyo mabwege utaona yakishangilia hapa bila aibu
Woyooooooo, piga keleleee
tapatalk_1544029097900.gif
 
Mpira wa kubebana sio fair ata kidogo yani ata mtoto mdogo anajuwa simba kabebwa tena kwa mbeleko kali.
Kubebwa inapoteza fair na ladha ya soka.
Tambwe na Yanga wamewahi kubebwa kama unakumbuka goli lile..
Mechi iyo iyo AJIBU akiwa Simba akafunga goli halali refa akasema offside.
Mechi iyo iyo MKUDE akapigwa red card ya ovyo akatoka nje.
... Sina maana tubebwe na sisi ila nakukumbusha tu Ujinga wa soka letu na mashabiki wake jinsi walivyo.
 
Simba ikishinda imebebwa, Ikifungwa haina uwezo. Sasa tuwaelewe vp?

Kila mtu ashinde mechi zake bhana
 
Nimecheka pale erasto nyoni alipotoa pasi mbovu hlf kmc wakaiwahi,fasta refa akapiga filimbi eti faulo ,dah!si kwa mbeleko hii ya leo
Kuna mechi hata uwanjani hatuingia lakini tutapa alama 3 na goli 2

Na utabaki ukilia lia mpaka ukubali kuwa This Is Simba..!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom