kama ndio hivyo itakuwa mambo ya dini tu hayo, ok, sisi tupo, najua anafatilia hapa kwa nje nje....Nikupigia mstari tu.
simbaaa.Haya sasa mpira ushaanza nani kidumeeeee!!
Sio Simba tu, hata Chipolopolo!Teh...ha ha pole hasa ukishangilia simba
Superbouy..handsome la mauno ..lakini ya uwanjani!!wakiingia Uwanjani.namuona NGASA hapa
Nisikitika kuwatangazia mdau mwenzetu KITOABU leo hatutakua nae, wameshampa haki yake mapemaa.
Kwanini usinywe tindikali?Leo yanga asiposhinda naachana na mama watoto ,
Zitakuwa kauli zake huyo.
Superbouy..handsome la mauno ..lakini ya uwanjani!!
Leo yanga asiposhinda naachana na mama watoto ,
Hebu niambie unaishi mitaa gani nije kupiga kambi hapo nje kwako...ukimuacha tu mi namchukua...!!!