ndugu yako anahasira mbaya mapemaa kazi ipo..Hakuna cha Okwi wala Mbuyu ni kichapo tu.
Nammisi sana kijana wangu Abdallah Seseme, bingwa wa penetration pass sijui atapona lini aje atutumikie waajiri wake.Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi
ya Yanga:
1. Ivo Mapunda
2. Haruna Shamte
3. Issa Rashidi
4. Joseph Owino
5. Donald Mseti
6. Jonas Mkude
7. Haruna Chanongo
8. Henry Joseph
9. Hamisi Tambwe
10. Saidi Hamisi
11. Awadh Juma
Wachezaji wa Akiba:
1. Yaw Berko
2. Omary Salum
3. William Lusian
4. Ramadhan Chombo
5. Ramadhani Singano
6. Zahir Pazi
7. Amri Kiemba
Ah Kiongozi, Upo?
Yanga oyeee
Ah Kiongozi, Upo?
Nammisi sana kijana wangu Abdallah Seseme, bingwa wa penetration pass sijui atapona lini aje atutumikie waajiri wake.
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi
ya Yanga:
1. Ivo Mapunda
2. Haruna Shamte
3. Issa Rashidi
4. Joseph Owino
5. Donald Mseti
6. Jonas Mkude
7. Haruna Chanongo
8. Henry Joseph
9. Hamisi Tambwe
10. Saidi Hamisi
11. Awadh Juma
Wachezaji wa Akiba:
1. Yaw Berko
2. Omary Salum
3. William Lusian
4. Ramadhan Chombo
5. Ramadhani Singano
6. Zahir Pazi
7. Amri Kiemba
nipo mkuu, tunaufatilia uzi kwa umakini sana, picha bdo zinagoma mkuu?Ah Kiongozi, Upo?
masuke crashwise balantanda makoye matale nahisi uzi utafungwa kiaina vile..
Ah Kiongozi, Upo?
nipo mkuu, tunaufatilia uzi kwa umakini sana, picha bdo zinagoma mkuu?