OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,074
- 103,284
Kikosi cha kutia adabu wanafunzi kama tulivyowatia adabu wakongwe Deportive La Utopolo
Reds in Town tukikinukisha na kombe letu
Chura mkubwa weweHii timu yangu tangu imbahatishe Yanga inagawa points tu,imekuwa kama wale wanawake tunaowaitaga Chupi mkononi
Naweka tu kumbukumbu sawa,Kikosi full mkoko
Twatarajia mkono (5)
Umeanza kuikana timu yako baada ya 4gHii timu yangu tangu imbahatishe Yanga inagawa points tu,imekuwa kama wale wanawake tunaowaitaga Chupi mkononi
Hahaha et Utopolo de la vyura daah wahurumieni jamani.Simba SC 4 - 1 Utopolo De La Vyura
Siku kama ya leo,vyura walikula nneSimba SC 4 - 1 Utopolo De La Vyura