Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
hiyo press conference itaongozwa na nani? tayari mmeshamaliza kuwazika watu wenu mliowaua?
vp,,lumumba bdo wana ajira yao ya buku 7
hiyo press conference itaongozwa na nani? tayari mmeshamaliza kuwazika watu wenu mliowaua?
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
hawa ccm wataumbuka sana mwaka huu
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Chenye tija ni kiwalipua na kuwaua wananchi wasiokuwa na hatia waliohudhuria mkutano wa CHADEMA.Wakati fulani za kuambiwa changanya na zako.Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
chadema ndo wataumbuka na wanaweweseka sasa. kila mmoja atajitokeza kutoa tamko
Tunasubiri kusikia mengi kutoka katika hiyo press conference
Chenye tija ni kuwalipua wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara na kuwaua? wakati fulani zakuambiwa jaribu kuchanganya na zakoKama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Anasema Kauli ya Nape na ya Ikulu zinatofautiana kimaneno lakini zinafanana kimaudhui na zinataka kuwafanya wananchi waione CHADEMA imejilipua yenyewe ni uzushi na haina mantiki kabisa kwani nguvu ya CHADEMA Arusha inajulikana. Mnyika anasema kauli hizi mbili zinaonyesha kuwa Ikulu na CCM walikuwa wanajua kila kitu kuhusu tukio hili na ndio maana muda mfupi tu baada ya tukio wakaanza kufanya propaganda. Anasema Mwigulu na Nape walianza kutangaza vitisho na mauaji tangu mapema katika mikutano hii ya Kampeni katika uchaguzi wa Kata uliomalizika hivi karibuni. Mnyika anasisitiza kuwa Polisi na serikali ndio waliopanga, na kutekeleza tukio hili
Mnyika anasema kuwa Kauli ya Lukuvi Bungeni inaonyesha wazi kuwa kwa sasa ni sera ya Serikali kusema uongo. Na sasa ofisi ya Waziri Mkuu kupitia kwa Lukuvi ni uongo na uzushi kwani video zinaonyesha ni Polisi ndio waliolipua bomu pale Arusha.
Wote tunajua Kikwete anaaigiza wananchi waliomchaguwa wauwawe kwa kupitia mwigulu,mulongo na polisi akiwa nje ya nchi,kikwete mzururaji na muasisi wa propaganda za kichina kirusi,kipolishi safari hii anaanikwa bwererehawa jamaa kazi ya kuzurura tu. bungeni wamesusia baada ya waziri mgimwa kuwazidi kwa kila angle na sasa wanaamua kuendeleza porojo kwa mambo wanayojua kuwa yametokeaje
Tunasubiri kusikia mengi kutoka katika hiyo press conference