Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

Status
Not open for further replies.
Mpaka hapo naona washindi wa millioni mia 100 ni Chadema sasa ushauli wangu pelekeni huo ushaidi mpate hizo million 100 zisaisie baadhi ya majimbo.
 
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Chenye tija ni kiwalipua na kuwaua wananchi wasiokuwa na hatia waliohudhuria mkutano wa CHADEMA.Wakati fulani za kuambiwa changanya na zako.
 
Anasema Kauli ya Nape na ya Ikulu zinatofautiana kimaneno lakini zinafanana kimaudhui na zinataka kuwafanya wananchi waione CHADEMA imejilipua yenyewe ni uzushi na haina mantiki kabisa kwani nguvu ya CHADEMA Arusha inajulikana. Mnyika anasema kauli hizi mbili zinaonyesha kuwa Ikulu na CCM walikuwa wanajua kila kitu kuhusu tukio hili na ndio maana muda mfupi tu baada ya tukio wakaanza kufanya propaganda. Anasema Mwigulu na Nape walianza kutangaza vitisho na mauaji tangu mapema katika mikutano hii ya Kampeni katika uchaguzi wa Kata uliomalizika hivi karibuni. Mnyika anasisitiza kuwa Polisi na serikali ndio waliopanga, na kutekeleza tukio hili
 
Tunasubiri kusikia mengi kutoka katika hiyo press conference

mie nilidhani atakuja mabere marando na namba za simu za watu waliohusika na milipuko ya mabomu! huyu mnyika hana lolote ni kutapatapa tu na hofu yake ya kupoteza ubunge 2015
 
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Chenye tija ni kuwalipua wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara na kuwaua? wakati fulani zakuambiwa jaribu kuchanganya na zako
 
Mnyika anasema kuwa Kauli ya Lukuvi Bungeni inaonyesha wazi kuwa kwa sasa ni sera ya Serikali kusema uongo. Na sasa ofisi ya Waziri Mkuu kupitia kwa Lukuvi ni uongo na uzushi kwani video zinaonyesha ni Polisi ndio waliolipua bomu pale Arusha.
 
Anasema Kauli ya Nape na ya Ikulu zinatofautiana kimaneno lakini zinafanana kimaudhui na zinataka kuwafanya wananchi waione CHADEMA imejilipua yenyewe ni uzushi na haina mantiki kabisa kwani nguvu ya CHADEMA Arusha inajulikana. Mnyika anasema kauli hizi mbili zinaonyesha kuwa Ikulu na CCM walikuwa wanajua kila kitu kuhusu tukio hili na ndio maana muda mfupi tu baada ya tukio wakaanza kufanya propaganda. Anasema Mwigulu na Nape walianza kutangaza vitisho na mauaji tangu mapema katika mikutano hii ya Kampeni katika uchaguzi wa Kata uliomalizika hivi karibuni. Mnyika anasisitiza kuwa Polisi na serikali ndio waliopanga, na kutekeleza tukio hili

kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
 
hawa jamaa kazi ya kuzurura tu. bungeni wamesusia baada ya waziri mgimwa kuwazidi kwa kila angle na sasa wanaamua kuendeleza porojo kwa mambo wanayojua kuwa yametokeaje
Wote tunajua Kikwete anaaigiza wananchi waliomchaguwa wauwawe kwa kupitia mwigulu,mulongo na polisi akiwa nje ya nchi,kikwete mzururaji na muasisi wa propaganda za kichina kirusi,kipolishi safari hii anaanikwa bwerere
 
hivi kule kyela CHADEMA walishinda ile kata ya kule..mana niliona humu kama wameshinda vile..sijaona tena updates
 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom