Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

Kama leo ndio hukumu, Tundu Lisu alimtetea lini Lema? hapa tunachanganyana, pamoja kwamba mimi si mwanasheria lakini naamini baada ya utetezi wa maandishi lazima kuwepo na malumbano ya hoja za mawakili kabla ya Jaji kutangaza siku ya kutoa maamuzi. niko tayri kurekebishwa kama siko sahihi.
 
Napata mashaka sana juu ya hukumu ya leo,ila ngoja tuone itakavyokuwa.
 
Sujui kama uko sahihi

Kama leo ndio hukumu, Tundu Lisu alimtetea lini Lema? hapa tunachanganyana, pamoja kwamba mimi si mwanasheria lakini naamini baada ya utetezi wa maandishi lazima kuwepo na malumbano ya hoja za mawakili kabla ya Jaji kutangaza siku ya kutoa maamuzi. niko tayri kurekebishwa kama siko sahihi.
 
Kama leo ndio hukumu, Tundu Lisu alimtetea lini Lema? hapa tunachanganyana, pamoja kwamba mimi si mwanasheria lakini naamini baada ya utetezi wa maandishi lazima kuwepo na malumbano ya hoja za mawakili kabla ya Jaji kutangaza siku ya kutoa maamuzi. niko tayri kurekebishwa kama siko sahihi.

mkuu, hata kama lissu hakumtetea lema high court lkn sheria inaruhusu kuongeza mawakili kwenye mahakama ya rufaa endapo mrufani ataona kuwa hatua hiyo itamhakikishia ushindi. yaani ni sawa na ligi ya vodacom dirisha dogo la usajiri pale january ili kuiongezea timu yako nguvu. tehe tehe.
 
Kama leo ndio hukumu, Tundu Lisu alimtetea lini Lema? hapa tunachanganyana, pamoja kwamba mimi si mwanasheria lakini naamini baada ya utetezi wa maandishi lazima kuwepo na malumbano ya hoja za mawakili kabla ya Jaji kutangaza siku ya kutoa maamuzi. niko tayri kurekebishwa kama siko sahihi.
Umeona eeh!
Hata mimi napata ugumu mkubwa sana kuamini kama leo kuna hukumu inatolewa kweli.
 
Tunashukuru sana kwa updates!

Tunapenda kuona haki ikitendeka.
 
kwa niijuavyo serikali ya CCM, leo Lema kakalia kuti kavu...
 
Reference to page no 957/958 kifungu cha 14 sheria ya uchaguzi. Mkurugenzi wa uchaguzi azingatie sheria ya uchaguzi.

Decree haijaandikwa kama inavyotakiwa na sheria.

Na katika hili tumeambatanisha hukumu ya mahakama hii tukufu iliyotolewa mwezi wa tano dhidi ya Gesud Bajuta.
 
Alute: rufaa ni batili on a decree of the high court. Decree haikubaliani na hukumu.
Jamani hivi hukumu ikiwa imeshaandikwa si huwa inasubiliwa kusomwa tu? je malumbano haya yatabadili hukumu ambayo imeshaandikwa? nadhani U Great Thinker uanzie kwenye kujijibu maswali kama haya. hakuna hukumu leo.
 
Sawa mkuu endelea kutupa vitu. Vipi huyu alute ndiye kaka yake lissu? Maana niliwahi kusikia kuwa wapinzani wa lema walikuwa wanawakilishwa na kaka wa lissu
 
Nafikiri leo ni siku ya kusikilzwa kwa rufaa baada ya hapo lazima itapangwa tarehe ya hukumu.
 
Kesi hii imeelekeza kuwa hii decree inatakiwa iwe na format ipi. Kwenye ukurasa wa sita hadi nane.

Kwenye hii kesi tar ya decree ilikuwa imekosewa. Haya ni maelezo ya Alute yanaendelea.

Mahakama ilikumbushia umuhimu wa kuzingatia decree.

Kesi iliyopo mbele yetu decree imekosewa, haina baadhi ya maneno kama given under my hand in a seen of the court.
 
Jamani hivi hukumu ikiwa imeshaandikwa si huwa inasubiliwa kusomwa tu? je malumbano haya yatabadili hukumu ambayo imeshaandikwa? nadhani U Great Thinker uanzie kwenye kujijibu maswali kama haya. hakuna hukumu leo.
hakuna hukumu hapo .... ni ngonjera tu.
 
Decree haionyeshi ni lini imechukuliwa. Imekiuka kanuni ya tisa ya kanuni ya masijala ya mahakama.

Kanuni ya tisa "All summons shall be seen of the court. And should show when the order was distracted"
 
leo sio siku ya hukumu. ni siku ya kupitia hoja za warufani.
 
Back
Top Bottom