Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

kuna habari hii imezagaa kwamba walikamatwa na polisi wa afrika kusini kwa kubeba vitu walivyovitilia mashaka.Walihojiwa na baadae kuachiwa,je hili ni kweli? kama ni kweli tunaelekea kubaya kama taifa
Hizi habari ni za kweli kabisa na mmoja wa hao waganga kasema wameagizwa na Ally kiba,Wema Sepetu na Joketi ili wahakikishe kuwa DIAMOND haondoki na TUNZO (hivi ndo machizi wanavyojibiwa ukiangaika kulumbana nao utakuwa nawe ni chizi mwenzao)
 
Yaani inawauma sana kuona wanayemchukia anazidi kupanda, na sisi mashabiki wake wanatufanya tuzidi kumpenda
 
Kuna mtu yeyote humu ndani huwa anakula kwa diamond? Au anaepewa kodi ya nyumba? Kama yupo nadhan kama yupo ndie anaepaswa kushangilia hizo tuzo na masuala hayo
 
Kuna mtu yeyote humu ndani huwa anakula kwa diamond? Au anaepewa kodi ya nyumba? Kama yupo nadhan kama yupo ndie anaepaswa kushangilia hizo tuzo na masuala hayo
Kwetu sisi ambao burudani ni sehemu ya maisha tunafurahia pole kwako uliepoteza safar ako ya matumaini..nami n¨¤anza kuhic unaweza Kuwa underground artist na hujui utatoka Lin..komaaa jombaa
 
Mwenzako mi ni turufu
si garasa
mwenye nyota ya umaarufu
si kupapasa
Tena jokeri la nguvu
Makarata oooh
Tena hodari wa nguvu si kwasakwasa

pipooooooooooz kaaaaaaama nawaona vile wakina mwafulani na kiongozi wao le kimbaz walivyo panick hahahaha

NEXT STOP
+ July 24, Moshi
+ August 1, Kenya Nairobi
+ August 8, Tanga

MTANYOOKA TU!!
Wapi walinda tembo kwa kujitolea??
Mtajuta kutufahamu hahahaha!!!!
 
Mwenzako mi ni turufu
si garasa
mwenye nyota ya umaarufu
si kupapasa
Tena jokeri la nguvu
Makarata oooh
Tena hodari wa nguvu si kwasakwasa

pipooooooooooz kaaaaaaama nawaona vile wakina mwafulani na kiongozi wao le kimbaz walivyo panick hahahaha

NEXT STOP
+ July 24, Moshi
+ August 1, Kenya Nairobi
+ August 8, Tanga

MTANYOOKA TU!!
Wapi walinda tembo kwa kujitolea??
Mtajuta kutufahamu hahahaha!!!!

aisee umeona ule mjengo wa diamond?
 
aisee umeona ule mjengo wa diamond?

Ni noooma yani ule mjengo ukifika usiku ndio unakuwa wa moto zaidi..

Umeona ka counter pembeni pale unachukuwa vinywaji nin, afu inasogea kwenye swiming pool na le mbebez daaaaah wacha watu watoke mapovu maana hadi mimi shabiki naona wivu sembuse wakina le temboz
 
Huyu shardcole yuko yapi atimize ahadi yke asifanye wa2 wajinga kma anaogopa wa2 kumshika kalio....aombe escort y police
 
King of Afro pop aka Rula anauliza vipi wameshanyooka???
 

Attachments

  • 1437390374351.jpg
    1437390374351.jpg
    25.4 KB · Views: 175
Tuendelee kumpigia kura za afrimma sasa, ni rahisi kuliko hata zile za mtv. Unaclick link ipo hapo kwa akaunti ya wasafi classic moja kwa moja utaona maelekezo
 
Back
Top Bottom