neggirl JF-Expert Member Jul 30, 2009 4,843 2,117 Dec 1, 2013 #1 Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd). kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd). kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
neggirl JF-Expert Member Jul 30, 2009 4,843 2,117 Dec 1, 2013 Thread starter #3 sasa anaperform evans. very interesting. anafuatia kijana wake.. Ray
neggirl JF-Expert Member Jul 30, 2009 4,843 2,117 Dec 1, 2013 Thread starter #4 nimependa Ray anaigiza sauti za watangazaji na watu maarufu, wawapo kazini na wanapokuwa na wapenzi wao vyumbani.. lolz kaigiza wengi ikiwemo mkapa, reinfred masako, mengi n.k
nimependa Ray anaigiza sauti za watangazaji na watu maarufu, wawapo kazini na wanapokuwa na wapenzi wao vyumbani.. lolz kaigiza wengi ikiwemo mkapa, reinfred masako, mengi n.k
sad_eyes Senior Member Nov 30, 2013 148 35 Dec 1, 2013 #5 Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps????????
M Mavotah JF-Expert Member May 24, 2013 280 119 Dec 1, 2013 #6 sad_eyes said: Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps???????? Click to expand... Muache atupe taarifa, wewe ndo huna kazi ya kufanya kwa kufuatilia vitu visivyokuhusu
sad_eyes said: Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps???????? Click to expand... Muache atupe taarifa, wewe ndo huna kazi ya kufanya kwa kufuatilia vitu visivyokuhusu
neggirl JF-Expert Member Jul 30, 2009 4,843 2,117 Dec 1, 2013 Thread starter #7 sad_eyes said: Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps???????? Click to expand... karibu ucheke mwaya uongeze life!
sad_eyes said: Dada Huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost craps???????? Click to expand... karibu ucheke mwaya uongeze life!
F furahi JF-Expert Member Nov 2, 2010 945 195 Dec 4, 2013 #8 Comedian gani huyo most of the tym anaitumia kujichekesha mwenyewe?