Live updates: Evans Bukuku stand up commedy show @Golden Tulip

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,843
2,117
Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd).

kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
 
sasa anaperform evans. very interesting.

anafuatia kijana wake.. Ray
 
nimependa Ray anaigiza sauti za watangazaji na watu maarufu, wawapo kazini na wanapokuwa na wapenzi wao vyumbani.. lolz

kaigiza wengi ikiwemo mkapa, reinfred masako, mengi n.k
 
Back
Top Bottom