Live update Kutoka viwanja vya Sinoni jijini Arusha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Tutakua moja kwa moja kutoka Viwanja vya Sinoni katika jiji la Arusha Kwenye mkutano Mkubwa wa Kampeni za Kipenzi wa Arusha na mbunge anayesubiri kuapishwa siyo Mwingine ni Godbless J Lema

Viongozi wakuu wa umoja wa Ukawa wakiongozwa na Mh. Lowasa, Sumayi, Mbowe na Mbatia bila kuwasahau wabunge wa ukawa watanguruma mojakwa moja kutoka viwanja vya sinoni na tutawaletea yote hayo Live.

Maandalizi yote muhimu yanaendelea vizuri kabisa hapa.
 
Hatuna haja na mikutano ya siasa kwa sasa nchi ina raisi jpm.
Hao wengine tumeshawasahau.

Sikukuu yetu ya Uhuru tunafanya usafi nchi nzima.
HONGERA TANGANYIKA HONGERA JPM HONGERA WATANZANIA WOOOOOTE.
 
Arusha Tunamjua Lema ndio mbunge Meya ni Kalist Lazaro
 
Hatuna haja na mikutano ya siasa kwa sasa nchi ina raisi jpm.
Hao wengine tumeshawasahau.

Sikukuu yetu ya Uhuru tunafanya usafi nchi nzima.
HONGERA TANGANYIKA HONGERA JPM HONGERA WATANZANIA WOOOOOTE.

umeishia darasa la ngapi mkuu ?
 
Nasikia watu wa Arusha bado wana mzuka, wanafanya usafi mpaka sasa mitaani, wamegoma kwenda, wachache walioenda wameenda na fagio zao.
 
Tutakua moja kwa moja kutoka Viwanja vya Sinoni katika jiji la Arusha Kwenye mkutano Mkubwa wa Kampeni za Kipenzi wa Arusha na mbunge anayesubiri kuapishwa siyo Mwingine ni Godbless J Lema

Viongozi wakuu wa umoja wa Ukawa wakiongozwa na Mh. Lowasa, Sumayi, Mbowe na Mbatia bila kuwasahau wabunge wa ukawa watanguruma mojakwa moja kutoka viwanja vya sinoni na tutawaletea yote hayo Live.

Maandalizi yote muhimu yanaendelea vizuri kabisa hapa.
mkuu Mwanahabari Huru umetekwa ?
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom