Live TV & Radio coverage imegarimu pesa kiasi gani kuanzia 2105-2020?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kuanzia Rais Magufuli aingie Madarakani ametumia Tv na Redio kuwa live mpaka anapoenda kuangalia daraja lililovunjika.

Imagine unatumia million 10 kuwa live wakati ungetumia million 50 kurekebisha daraja kimya kimya.

Je ni pesa za walipa Kodi kiasi gani zimetumika kuandaa live coverage ya mikutano yote ya Rais Magufuli hata ambayo haina tija?.

Wanyonge tunaweza kuambiwa ni kiasi gani kimetumika kuandaa mikutano hi?

Kuanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020 je kwa kuwa live kwenye tv 3 mpaka 4 na radio kadhaa je ametumia pesa kiasi gani?
 
vumilia tu mkuu. Magufuli ndio alikua rais 2015 to 2020 na ndiye atakua rais kwa 2020 to 2025. Vumilia kua mpole. Mambo mengi mazuri Magufuli atayaleta.
 
Hivi vyombo maadam ni kodi za wa Tz wote vitumike na wapinzani pia kuwafikia wa Tz wote.
Visiwehodhiwe na ccm peke yake na visinyimwe fursa ya kuwapa wapinzani nafasi za kupeleka ujumbe kwa wananchi wote.
 
Mimi huwa najua nimapenzi yachombo husika chahabari kuwa coverage namuheshimiwa kwenye baadhi yamatukio
 
Live ya kongamano la wanasanii hovyo kabisa. Wakati bunge lilizuiwa.
Error in thinking. Vichwa vyao vina kunde na siyo ubongo.
 
May be wawekezaji walikuwa katika harakati za kujiweka karibu na kiongozi wa malaika
 
Kuanzia Rais Magufuli aingie Madarakani ametumia Tv na Redio kuwa live mpaka anapoenda kuangalia daraja lililovunjika.

Imagine unatumia million 10 kuwa live wakati ungetumia million 50 kurekebisha daraja kimya kimya.

Je ni pesa za walipa Kodi kiasi gani zimetumika kuandaa live coverage ya mikutano yote ya Rais Magufuli hata ambayo haina tija?.

Wanyonge tunaweza kuambiwa ni kiasi gani kimetumika kuandaa mikutano hi?

Kuanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020 je kwa kuwa live kwenye tv 3 mpaka 4 na radio kadhaa je ametumia pesa kiasi gani?
Hakuna hata senti tano iliyotumika, ni vyombo vyenyewe vinajipendekeza, ndio maana star tv baada ya Dialo kusomeshwa namba wamepunguza kiherehere cha live coverage za bwana yule
 
Back
Top Bottom