Live TV channels via internet free na bure bila chenga wala virus

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
Kwa wanaJF walio mbali na DSTV, Canal digital, Easy TV au Star Times wanaweza kuangalia LIVE Tv zaidi ya 100 bure bila hata ya kudownload kupitia mtandao wa STREAMIC.COM, just click na select channel unazotaka kama za NEWS, SPORTS, MOVIES, EDUCATION CHANNELS na nyinginezo,

Nadhani kwa wabeba boksi na ambao mpo home wekends basi kazi kwenu, sijawa mchoyo kuwajuza. Kwa bahati mbaya za kibongo hakuna ila kwa wanaopenda kuangalia pia za kenya nenda google andika WATCHLIVEKENYANTV, au WATCHLIVETVONLINE.WEBS.COM.


Weekend njema.
 
andika STREAMICK.COM sory nimesahau kuweka K mwishoni sahihishen hapo mwanzoni.
 
Mwana!Bigup sana m2 wangu.Nitoe ushapa kidogo.Nikishadownload,nafanyeje kuweka kwenye Receiver yangu?Please nijulishe mwana
 
Mungu akujalie popote ulipo upate mke uzae nae watoto mia wote mapacha!! ahsante sn!
 
bgup lokissa, umenisevu sana kwani cc huku inayokamata fresh bila chenga ni chanl ten. inaniboa sana kama naovile ya chama fulani cha c-asa?
 
kwa waliofanikiwa, ninawezaje kufungua channel wakuu.


napata list ya channel tu
 
na mimi ngoja niongeze kitu kuna APP ambayo ukidownlowd unaweza kuangalia channel zaidi ya 300 ktk simu yako nenda playstore kisha andika TIME TELLER TV ni nzuri sana jaribu
 
Back
Top Bottom