Elections 2010 Live: Tume ya ccm inajibu maswali sasa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,415
85,840
Jamani naangalia ITV tume inajiuma jiuma tu, kuna baadhi ya maswali hata KIRAVU hajui anachojibu!!!! hebu angalieni jamani
 
Anajibu kwa kirefuuu naona ni stori zile zile za sungura na fisi
 
Anampiga dongo SLAA kuhusu kuwaomba wananchi walinde kura zao.... NEC bado hawajibu maswali ya msingi!!! anataka mtu ajitokeze aeleze jinsi kura zinavyoibiwa, anachekesha kweli huyu mzee
 
hata hao waandishi wa habari wanacheka cheka nini, shame anaongea pumba:A S-baby:
 
aisee Kiravu ni mtu wa ajabu ajabu, mzee anaishiwa nguvu ya mwili na akili
 
Huyu mzee anajibu maswali so irrational....sijui uzee ndo unamsumbua au ushauri wa mkuu ARTIFICIAL
 
wwandishi wa guardian anaanza kwa kupongeza tume, wangemuita tundu lisu awaulize maswali, kirafu anaongea kama head teacher :rip:
 
SIO nguvu za mwili na akili tu nadhani hata nguvu za nanihii, za nini vile? aaahh za kufikiria!!!!!
 
Ngoja aburuzwe mahakamani na Lisu/Marando na tutaona atakavyokuwa akicheka.

Hawa watu dawa yao ni Mahakamani tu. Vinginevyo wataendelea kutesa.

Atashangaa kuwa hata Kikwete haji kumsaidia. Ipo siku.
 
nasema eti kuna majaji respected, ana sahau hata KIVUITU alikuwa jaji, kwanini Tz hawataki kuona maswali yote hayo yasingelikuwepo kama tume ingekuwa huru, huyu mzee kana don king anasema wannchi wanaimani na tume
 
Anampiga dongo SLAA kuhusu kuwaomba wananchi walinde kura zao.... NEC bado hawajibu maswali ya msingi!!! anataka mtu ajitokeze aeleze jinsi kura zinavyoibiwa, anachekesha kweli huyu mzee

Wananchi wanalinda kura zao kwa sababu hawaiamini NEC. Na hii inatokana na kuwa NEC si huru,
 
Anaeongea sasa hivi eti ni Proffessor, huyu mzee ni mtu wa ajabu sana hata huo uprofesa alionao sijui aliupateje msambaa huyu CHALIGHA!!!! hivi mnaoangalia, nisaidieni anajibu swali gani?? most of the professors are confused, ndo nathibitisha kwa huyu mzee wa watu hapa! ila maprofesa wanachanganyikiwa wengi ni hawa wakwetu, mfano; kumbuka mmoja wa maprofesa wako aliekufundisha .....
 
Kama uprofesa wenyewe ndo huo, naenda ku-withdraw PhD thesis yangu, sijui anatoka wapi anaenda wapi??? what the hell is he talking about....
 
huyu mpemba anasema eti fujo ni hulka, shame on you fujo mwanza na shinyanga among watu wapole, ingekuwa tarime ungesema hulka
 
Eti kulinda kura ni hulka ya watu!upuuzi mtupu yani natamani kuipasua hii tv yangu
 
Back
Top Bottom