Live tbc! Mateka wa chama cha magamba!!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Hebu yeyote aangalie hawa vijana! Hoja zao ni nyepesinyepes tu hata Marin anawauliza swali wanajibu kijuu juu tu!
 
Eti anasema kujivua gamba wao wanatafsiri tofauti na wengi wanavyo jua! Hataji hiyo tafsiri n nn?
 
mi nimezima na tv maana hili lichama linanichefua nisije tapika soseji zangu mimi kwa kuangalia mautumbo ya bata kama haya....
 
wekeni basi wazi ni vijana gani hao manake wengine tuko madongo kwinama TBC hadi nshaisahau kama ipo.wanaongelea nini? wametoa point gan na n vilaza gani hao
 
Hizi mada zinaanzia katikati kana kwamba wote tunauelewa sawa sawa na tukio lililoko. please naomba mtoa mada aeleze issue in detail ili kumsaidia hata mtu anayeisikia kwa mara ya kwanza awe na ufahamu wa kutosha ili aweze kuichangia vizuri. Tukiweka mada nusu nusu hapa hatutakuwa tunatendeana haki na hii inatunyima kabisa fursa ya kushiriki mijadala sawasawa.
 
Yes, it should be clearly elaborated hata iwe japo (in brief)...tutaielewa tuliochelewa.
 
Mada imeanzia katikati ila kama na swala la KUJIVUA GAMBA hiyo ni danganya toto!!! Hakuna kitu hapo!!! Tatizo Wa TZ ni rahisi sana kubadilika badilika kama kinyonga!!!! Nape ana maneno matamu!!! yasiwatishe wadau kabisa!
 
Sasa manaaake nini?toeni kitu kamili kama haiwezekani hata kwa kuanzia tu,ili ieleweke sasa hapo wengine hatujaelewa kitu.
 
Back
Top Bottom