Live.......Tanzania Vs Sudan !!!!!!!!!!!! & CECAFA

Issa Michuzi ameshaweka kwamba jamaa wa Sudan washatupiga 2-1

Tusipo chukua hili kombe Maximo arudi kwao, naona mzee nafaidi pesa yetu ya kodi na hatuoni kitu, washikaji walio bongo wanalalama timu haichezi vizuri heri tumrudishe John Simkoko na kumjengea mazingira mazuri vipaji tunavyo vya wachezaji
 
engineer hawa viromo romo hawana lolote wanapigwa bao tu leo.

kazi ksho wanaume wa shoka tutavyowahenyesha warwanda

mtu wa pwani...........

kweli kaka,kesho lazima tuwafungishe virago akina kagame na nkuruzinza.

nasikia SIMBA MTOTO kesho ndani ya A-TOWN kwenda kuwapa supports watoto.

dua zako mtu wa pwani,manake TANZANIA imebakia timu moja nayo ni MAPINDUZI BOYS
 
Mpira umekwisha na tumepigwa yale 2-1 na tumeshatolewa rasmi kwenye Chalenji Cup - Michuzi ameleta hii dakika chache zilizopita.
 
Msija mkawa wanaume wa SKETI!!

kawaida yenu kutudharau, mara twala urojo, mara tunakandaniza kizenji mara hivi mara vile.

lakini ukweli njiliosema mmeuona kuwa nyny hamna soka nyny kazi kelele tu.

uliza nn tumewafanya wahabeshi, na waulize hao wasudani walituonaje tulivyocheza nao?

ss marijali, huko kutufinya tu lkn mkitaka muendelee hiyo serikali mtupe sie muone ss tukiamua kufanya jambo wallahi tunafanya na mnajua.

kesho tunamtia mtu adabu.

tunafanya ile kaka mpigia

yaani msikonde ndugu zetu kesho tutakulipizieni kisasi msikonde watatukoma.

na kama simba mtoto na maalim seif wakikuwepo uwanjani ndio watazidi kulia wana wa kagame
 
mtu wa pwani......

safari hii URAIS wa muungano ulikuwa zamu yetu,wakatuletea MIZENGWE weeee lakini poa tu,sisi kimya twawaangalia tu na RAFU ZAO.

wamesahau AWAMU YA PILI YA MZEE RUKHSA MZANZIBARI mambo yalikuwaje,maisha yalikuwa SMOOTHSSS kabisa.

kesho MOLA AKIPENDA USHINDI LAZIMA.
 
Huyo MINIMO si kocha bora mkataba wake uvunjwe ili atafutwe kocha mwingine mapema.
 
mtu wa pwani......

safari hii URAIS wa muungano ulikuwa zamu yetu,wakatuletea MIZENGWE weeee lakini poa tu,sisi kimya twawaangalia tu na RAFU ZAO.

wamesahau AWAMU YA PILI YA MZEE RUKHSA MZANZIBARI mambo yalikuwaje,maisha yalikuwa SMOOTHSSS kabisa.

kesho MOLA AKIPENDA USHINDI LAZIMA.

nakwambia hawa ndugu zetu wanajua kila kitu.

wanajua kama wazanzibari watu wazuri, ukimkuta mbongo asiependelea atakwambia mie nnafurahishwa sana na watendaji wa serikali kutoka zanzibar.

anza na marehemu dr omar ali juma, mzee mwinyi, na wengine hata huyu sheni utaona wanafanya kazi kiudhati kuitumikia nchi tabu kumkuta mzanzibari tamaa kama kina karamag i na wenziwe tokea tulivyoanza akina othman sharif abrahman babu thabit kombo na wengi tumetumikia serikali ya mungano bila ya kuwadhulumu au kuiibia na wanajua.

ila kwa kuwa tunapenda uadilifu ndio wanatudharau na kutuona tumelegea.

lkn ukweli wanaujua kuwa ss ni watu makini ila wanatubania.

na tukipata hivi vijifursa watakoma urais wamemnyima mzee salim hii nchi ingekuwa mbali lkn ndio hivyo wee acha tu
 
sasa msichanganye madawa..hapa wekeni soka...UKIRITIMBA KILA ENEO LA NCHI...
 
sasa msichanganye madawa..hapa wekeni soka...UKIRITIMBA KILA ENEO LA NCHI...

kama hujaelewa ni kuwa bongo hakuna vipaji na tatizo sio kocha.

usimlaumu seremala wakati mti ni mbovu.

huku bara kuna wadandiaji mtu huwezi kuanza mpirea sekondari.

kule tunajifunza mpira tokea utoto na ukimkuta anaecheza mpira kaamua kucheza mpira kweli na hatuchezei misifa kama hawa wenzetu.

na zaidi subirini kesho tunatoa funzo na kuwapa zawadi ya xmas kwa watanzania.
 
tutawapa ZAWADI YA EID EL-HAJJ mola akipenda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom