janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Ngoja nimtafute nijaribu bahati yangu na mm aiseeee
Umempata? Me leo sijapita huku nilikuacha mmalizane.
Ngoja nimtafute nijaribu bahati yangu na mm aiseeee
kwanini hunielewi ....?
Yaaaaan hapa natokwa na jasho aiseee
Yani wewe mda wote umekaa tu unaniabisha.
Asante kwa interest ila sio wewe. Kuna mtu namvizia.Why bothering youself...i.am here, right here baby!
Me nakuelewa kwani vipi?
Yaaaani daaaa nimemtafutaje huyo mwanamke mpaka jasho latoka
Asante kwa interest ila sio wewe. Kuna mtu namvizia.
au unanifanyia kusudi mtoto wa mwanamke mwenzio....?
Hahaaaaaa hutaki mwingine..
nan nan... Namtaka yeye tu,
ila nasikitika, nahisi yeye hana interest...
Vuta subraaà...