Live Star tv: Diwani Kata ya Mbagala Kuu Yusuf Manji katika sherehe za kuwashukuru wapiga kura wake!

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,509
10,641
Watu ni wengi, sana...nitaendelea kuwajuza kinachoendelea,
 
Last edited by a moderator:
.....nina mke mmoja, baba wa watoto wawili na sitegemei kuoa....by Manji.

....kama sijakupa namba ya simu yangu, usinipigie, na kam nimekupa usimpe rafiki yako...by Manji.
 
....tufanye kazi pamoja, tuweke siasa pembeni...Manji.
Sasa anaruhusu madiwani na wabunge walioshinda wajitambulishe...aneanza Abdallah Chaurembo,...
 
Nimeona LIVE huko Star Tv.......polisi wako ktk sherehe ya kumuaga Kova hawakukataza.....amri ya Waziri Mkuu imedharauliwa na chama chake
 
Nimeona LIVE huko Star Tv.......polisi wako ktk sherehe ya kumuaga Kova hawakukataza.....amri ya Waziri Mkuu imedharauliwa na chama chake
Watu mna vichwa vigumu! Waziri mkuu alisema wazi kuwa mikutano inaruhusiwa kwa wale tu walioshinda nafasi mbalimbali. Na katazo la serikali lililenga wale walioshindwa tu mfano FISADI Lowassa. Sasa hapo dharau ipo wapi!?
 
@ProudTanzania......nimekuelewa ndugu yangu.Lema wa Ark ameshinda...je anaruhusiwa kushukuru wapiga kura wake..... kwa Manji....????
 
Watu mna vichwa vigumu! Waziri mkuu alisema wazi kuwa mikutano inaruhusiwa kwa wale tu walioshinda nafasi mbalimbali. Na katazo la serikali lililenga wale walioshindwa tu mfano FISADI Lowassa. Sasa hapo dharau ipo wapi!?
Mbona unasahau sana??Mikutano marufuku
 
Vipi kuhusu vuvuzela aliyekuwa Diwani wa Kigogo alishinda?watu wa Dar mnaakili sana.
 
Back
Top Bottom