FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
NBC Premier League leo Jumatano. Mabingwa watetezi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuwaalika GEITA GOLD FC. Geita Gold wameshinda mchezo mmoja tu tangu ligi imeanza, huku wakiwa na kumbukumbu ya Kumbana Yanga Sc pale kwa Mkapa na Kuibuka na Ushindi Mwembaba wa Goli 1.

Koch Msaidizi Wa simba Alisema leo kikosi kitakuwa na mabadiriko makubwa kwasababu ga kujiandaa na Mchezo wa Marudiano wa Dec 4 na Red Arrows.

Swali Je, Pablo atakubali kuanzisha kikosi Cha Majaribio Leo? Ana Ikitegemewa Mchezo kuwa Mgumu kutokana na Matokeo ya Geita Gold

Je, leo Geita Gold wataweza msimamisha mnyama? Tuwe hapa pamoja kuanzia saa 1:00 usiku.
 
Kutabiri ushindi kwa simba ni rahisi sana, kitu ambacho ni ngumu kutabiri ni mchezaji gani leo ataibuka na goli nyingi pamoja na kuwa mchezaji bora wa siku ya leo
Uko makini sana mkuu na timu yetu maana ushindi hauna mjadala bali mjadala nani ataibuka kuwa na idadi kubwa ya magoli.
 
Back
Top Bottom