edward snowdern
Senior Member
- Nov 30, 2013
- 138
- 55
Shibuda pandikizi tu, niliwaonya CHADEMA tangu 2010 lakini uroho wa viti vya bunge ukawazidi, sasa yanawatokea puani kwa huyu pandikizi.
heri lawama kuliko hasara
Shibuda pandikizi tu, niliwaonya CHADEMA tangu 2010 lakini uroho wa viti vya bunge ukawazidi, sasa yanawatokea puani kwa huyu pandikizi.
Dah, kavuka mpaka jamani. Kumtukana mtu kwa kutaja kasoro yake ya mwili kwa ngu ni mbaya sana.
Anyway, but he is handsome kwa ujumla pamoja na kengeza.
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.
Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?
Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.
Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.
Kimenuka.
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.
Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?
Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.Kimenuka.
Mdada kuwa m'mbeya hivyo ni hatari,unaanza kukosoa kazi ya mungu,hujui nawe waweza pata kansa ya kizazi ukaumwa maisha yako yote yaliyobaki halafa tukawa tunakusema yule mvujaji
Amefunguka kwani alikuwa amefungwa? Dada yangu FaizaFoxy umefurahia huyu mchumia tumbo wa magamba anavyofanyia kazi tumbo lake. Mafumbo gani aliyoyazungumza? Ndio maana hii nchi yetu inaelekea pabaya kila siku kutokanma na viongozi wa hovyo. Hata Kikwete naye akitoa hotuba anaongea kimafumbo badala ya kuongea na na wananchi. Hizi tabia za kuongea kwa mafumbo ni magamba ndio tabia zao. Chadema hakuna mafumbo.
Mwanamme haongei kimafumbo, hizo ni tabia za kiccm
Tabia za Kimafumbo ni Tabia za Kike zinazonoongozwa na Wahuni CCM