Live: Shibuda Afunguka Bungeni Kimafumbo - Sasa Hivi

Status
Not open for further replies.
Kengeza huyo ni nani? Mbona ni wewe, kumbe hujijui?
1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg

John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.

Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?

Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.

Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.

Kimenuka.

Amefunguka kwani alikuwa amefungwa? Dada yangu FaizaFoxy umefurahia huyu mchumia tumbo wa magamba anavyofanyia kazi tumbo lake. Mafumbo gani aliyoyazungumza? Ndio maana hii nchi yetu inaelekea pabaya kila siku kutokanma na viongozi wa hovyo. Hata Kikwete naye akitoa hotuba anaongea kimafumbo badala ya kuongea na na wananchi. Hizi tabia za kuongea kwa mafumbo ni magamba ndio tabia zao. Chadema hakuna mafumbo.

Mwanamme haongei kimafumbo, hizo ni tabia za kiccm

Tabia za Kimafumbo ni Tabia za Kike zinazonoongozwa na Wahuni CCM
 
Huyu Shibuda alipaswa kufukuzwa hata kabla ya Zitto.

Ni pandikizi 100% tena alieshindwa kazi.
 
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.
Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?
Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.Kimenuka.

Alikuwa anamaanisha KOVA aliyeukosa Ukamishna wa Polisi........USIMCHONGANISHE SHIBUDA NA VIONGOZI WAKE!

SelemanKova.jpg
 
Mdada kuwa m'mbeya hivyo ni hatari,unaanza kukosoa kazi ya mungu,hujui nawe waweza pata kansa ya kizazi ukaumwa maisha yako yote yaliyobaki halafa tukawa tunakusema yule mvujaji

Hujafa hujaumbika.
 
Amefunguka kwani alikuwa amefungwa? Dada yangu FaizaFoxy umefurahia huyu mchumia tumbo wa magamba anavyofanyia kazi tumbo lake. Mafumbo gani aliyoyazungumza? Ndio maana hii nchi yetu inaelekea pabaya kila siku kutokanma na viongozi wa hovyo. Hata Kikwete naye akitoa hotuba anaongea kimafumbo badala ya kuongea na na wananchi. Hizi tabia za kuongea kwa mafumbo ni magamba ndio tabia zao. Chadema hakuna mafumbo.

Mwanamme haongei kimafumbo, hizo ni tabia za kiccm

Tabia za Kimafumbo ni Tabia za Kike zinazonoongozwa na Wahuni CCM

"Proverbs" unakumbuka ziko wapi? labda wamejifunza huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom