Live: Shibuda Afunguka Bungeni Kimafumbo - Sasa Hivi

Status
Not open for further replies.

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,800
109,057
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.

Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?

Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.

Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.

Kimenuka.
 
Ina maana makengeza hayawezi soma documents vizuri?

lakini ukivaa miwani hayaonekani...
 
teh teh yaani kikao kizima umenasa hiyo point ya jicho KONYEEEEEEEEE.......................basi!!kama wengine wanaona mizinguo wasepe hiko chama ni mali ya mkwe wake wa tengeru utaki tunakuvua vyeo!!
 
Mwongo wewe Faiza mbona kachangia vizuri tu bila mafumbo yoyote kwa wapinzani,ndo anamaliza sasa na mim inimeona nikujibu baada ya yeye kumaliza!
 
Shibuda alichukiwa na CCM kwa kutaka mkiti ccm asigombee urais bila kupingwa ndani ya chama
 
Ina maana makengeza hayawezi soma documents vizuri?

lakini ukivaa miwani hayaonekani...

Mkiambiwa ngozi za miili yenu zimefubaa kwa maradhi yanayowakabili mnaanza kulalama kuwa baadhi ya watu wanawanyanyapaa.
 
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.

Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?

Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.

Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.

Kimenuka.
Mdada kuwa m'mbeya hivyo ni hatari,unaanza kukosoa kazi ya mungu,hujui nawe waweza pata kansa ya kizazi ukaumwa maisha yako yote yaliyobaki halafa tukawa tunakusema yule mvujaji
 
Si yangu hayo ni Shibuda tena Bungeni.
 
John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.

Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?

Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.

Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.

Kimenuka.

Wewe ni mwongo sana ndio maana huwa nasema utakuwa na ka element ka uchawi. Wakati mafumbo ya Shibuda yalikuwa dhahiri kwa wabunge wa Zanzibar na jinsi wanavyobagua wenzao wa Bara katika kuzungumzia mambo ya muungano wewe unasema kawapaka Magwanda? Hata aliyekuoa wewe ( kama yupo) ni hasara kubwa kapata.
Badilika tabia kabla hujafa mwongo wewe!
 
Mwongo wewe Faiza mbona kachangia vizuri tu bila mafumbo yoyote kwa wapinzani,ndo anamaliza sasa na mim inimeona nikujibu baada ya yeye kumaliza!

Hukumsikia akiongelea "kengeza"? alimaanisha nini? sema wewe.

Ntakuja na Hansard itapotoka. Tunaomba waliopo bungeni waitupie hiyo hansard hapa kwani ile ya public inachelewa.
 
Dah, kavuka mpaka jamani. Kumtukana mtu kwa kutaja kasoro yake ya mwili kwa ngu ni mbaya sana.

Anyway, but he is handsome kwa ujumla pamoja na kengeza.
 
Mdada kuwa m'mbeya hivyo ni hatari,unaanza kukosoa kazi ya mungu,hujui nawe waweza pata kansa ya kizazi ukaumwa maisha yako yote yaliyobaki halafa tukawa tunakusema yule mvujaji

kama aliyesema hayo maneno ni shibuda kuna haja ya ktafakari ni nani mbeya kati yake na Faiza
 
tuletee yakliyo ya kweli mwayego
Hukumsikia akiongelea "kengeza"? alimaanisha nini? sema wewe.

Ntakuja na Hansard itapotoka. Tunaomba waliopo bungeni waitupie hiyo hansard hapa kwani ile ya public inachelewa.
 
Wewe ajuza ni mwongo sana ndio maana huwa nasema utakuwa na ka element ka uchawi. Wakati mafumbo ya Shibuda yalikuwa dhahiri kwa wabunge wa Zanzibar na jinsi wanavyobagua wenzao wa Bara katika kuzungumzia mambo ya muungano wewe unasema kawapaka Magwanda? Hata aliyekuoa wewe ( kama yupo) ni hasara kubwa kapata.
Badilika tabia kabla hujafa mwongo wewe!

John Shibuda, anawapakia magwanda wenzake kimafumbo bungeni.

Moja ya alilosema, ni inakuwaje "kengeza" mmoja asisikilize hoja za wenzake kwa uroho wa "madaraka"?

Nikiipata Hansard ntaendeleza yote aliyoyasema.

Kengeza huyo ni nani? Shibuda umeniacha hoi.

Kimenuka.

Kengeza huyo ni nani? Mbona ni wewe, kumbe hujijui?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom