Elections 2010 Live: Sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein

Pamoja na viongozi waalikwa toka nchi jirani yumo pia Raila Odinga.
 
Leo ni siku ya mapumziko Zanzibar kusherehekea kuapishwa kwa Rais wa 7 wa serikali ya mapinduzi atakayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Komandooo kachoka sana jamani. Hali yake kiafya ni tete nahisi. Mnyooooooooooooooonge sana.
 
Sherehe zinaonyeshwa live TBC1.

Uwanja wa Amani umefurika kweli kweli, hali ni shwari na ulinzi umeimarishwa.
 
Rais Kikwete anaingia, wimbo wa Taifa unapigwa.

Ni msisimko kweli kweli.
 
Hii dhana ya eti wameshinda wote imetoka wapi? kama wameshinda wote si wangeapishwa kwa pamoja. Hamadi kawatosha CUF huo ndiyo ukweli.

Anyway maadam wameshakubaliana sisi hatuna neno - tunawatakia Maisha mapya yenye Matumaini.
 
Walioshinda ni wazanzibar..wamepeana zamuzamu hatimae wamefika kwenye nchi ya ahadi kwa makubaliano maridhawa..maalim kaona bora yeshee ili amalizie siku zake kwa raha na mustarehe..Mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Vipi Big Ben yupo kwa sherehe?
 
Kikwete natafuta nini huko? Kweli likatiba letu halifai, how come mtu anakuwa raisi halafua anasubiri tena matokeo ya uraisi?
 
katiba ya jamhuri inahitaji mabadiliko fasta

kila lililo jema wanazanzibar kwakweli mwaka huu uchaguzi ulikua safi sana
muishi kwa amani na ndipo tutapojua zanzibar ni "nchi"tuko pamoja pande iyo ya muungano
50.01% vs 49.01%
 
Dr Shein kusema kweli alikuwa anafaa kuwa rais, isipokuwa chama na mfumo wake mmmmmhhhh siwapendi hata kidogo. Anyway, all the best Zanzibar, and the President Elect Dr Shein. Maalim inabidi sasa ufanye kazi yako na malengo yatimie,
 
shangaa na nec bado inajumlisha matokeo ya urais
na jk sasa kaalikwa kama rais????
hahahahaaa,,,hii kali
 
Mwanzo mzuri wa Uzanzibar na Uzanzibar .Zanzibar kwa heri toka muungano. My Predictions.
 
Mimi kilichonivutia ni Gwaride safi... Hasa wale Brass band... Mengine ya kawaida saaaana... Opps na Dress code ya Suit za Dark Blue na Mashati ya Light Blue.... Nadhani Mkapa alikosa size yake... Na kupelekea kuvaa suit ya GREY Kichina ambayo ilionekana dhahiri KULOA MGONGONI KWA JASHO!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom