Live sex shows kwa wazungu

Ni sawa tu, wazungu hupenda kujifunza, tofauti na sisi huku
Myingine ni kama nyumba ya kawaida tu, humo ni members only. Wengine wanashauriwa kwenda a marriage councillor ku spice up marriage kama kuna hatari ya kuachana.

Wazungu wana vituko sana.
 
Hakuna wazungu hawakua na tamaduni hizo, ni utandawazi tu wa siku hadi siku.

Kama tunavowafata nyuma katika technology ya mawasiliano,

Pia twafaa kuwafata kwa swala hilo, ili kuimalisha ndoa za kitanzania.
Una maanisha kweli au unatania ?
Mi naona hii itavunja ndoa za watu
 
Hizo live sex shows wala huwa si za gharama kubwa, ni viingilio vya kawaida sana ila humo ndani wanakupata kwenye vinywaji na snacks.
Once in a while huwa si mbaya kwenda kupiga mswaki wa macho.
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.

Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.

Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
 
Hizo live sex shows wala huwa si za gharama kubwa, ni viingilio vya kawaida sana ila humo ndani wanakupata kwenye vinywaji na snacks.
Once in a while huwa si mbaya kwenda kupiga macho.
Mimi sijawahi kuingia kwenda huko, tuekeze vizuri sasa.
 
Kwa hapa Dsm huduma hii ipo mitaa gani?
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.

Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.

Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
 
Si mpaka upate kibali. Sitashangaa kama Kenya ipo maana wenzetu kila cha wazungu wameiga.
Hata TZ tumefika mbali sana. Sina shaka kuwa hizi kumbi za haya mavitu zipo, sema wanazijua wachache. Hasahasa ndani ya jiji la Arusha, maana kule ndio nimeona night clubs za kutilia mashaka.
 
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.

Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.

Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
Mambo yote machafu unanayajua mkuu
 
Hapana hata kwenda siwezi. Niliona kwenye gazeti wameandika. Wengi wanokwenda huko wanakua wamepoteza kabisa hisia za tendo.
hebu wewe, uliona gazeti gani, we sema kwenye pekenyua zako zile saiti za porno ukakumbana na hayo ya live sex show. na ungepufuka macho
 
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.

Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.

Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
Unamaanisha mzee wa kugwajimika alikuwa anapima upepo kama upande huo nao una soko kama ilivyo biashara ya kanisa ?
 
Back
Top Bottom